Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo.
Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini?
Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
Huu ni Uzi wa tathimini yangu juu ya yanayoendelea kwa ujumla katika saga la Waziri na Askofu Gwajima.
Siku zote CHADEMA wamekuwa wakiwaomba viongozi wa dini kukosoa na kuikemea Serikali ya CCM. Tumeshuhudia maaskofu kama Mwamakua, Shoo na Bagonza wakioneshwa kuwa mashujaa kwa wanachadema kwa...
Freeman Mbowe aliyeko gerezani kwa tuhuma za uongo amepoteza Mama Mkwe ambaye ni mke wa Mzee Edwin Mtei, hata hivyo hakukata tamaa, amefanikiwa kutuma salamu zake za rambirambi kupitia kwa mwakilishi wake ambapo ameonyesha masikitiko yake makubwa sana kwa kuondokewa na MZAA CHEMA katika kipindi...
Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam
Mungu ibariki Chadema
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika.
- Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama...
Somo #1 lilikuwa kwenye kuutambua uwanja. Kutambua uwepo wa washirika, wadaiwa, maadui na wasiohusika kwa kujua au kutokujua kwao.
CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1
Somo #2 mkononi liangazie kwenye kutambuana sisi kwa sisi kama wapiganaji.
Ni muhimu tukayafahamu na kuyakubali...
NCCR Mageuzi imeungana na CHADEMA kugomea mwaliko wa Tume ya uchaguzi kuhudhuria hafla ya usomaji wa ripoti ya uchaguzi mkuu wa 2020.
ACT wazalendo bado wanatafakari.
CUF mhhh....
Mungu ni mwema wakati wote!
Kinachoniuma mimi ni hela za jasho langu ndizo zinazowapa utajiri wanasiasa.
Yaani mavazi ya raisi, safari za nje za raisi, magari ya wabunge na mishahara ya wabunge vyote ni jasho la wananchi.
Lakini kama hiyo haitoshi, tumeongezewa kodi na tozo nyingine ambazo nazo zitaliwa na wanasiasa...
Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na...
Mabibi na mabwana elimu haina mwisho na katika zama hizi za "Delta Variant" kujikita "ki-dijitali" ni muafaka zaidi.
Tunapoikodolea macho katiba mpya ni muhimu tukajiridhisha kuwa tunafahamu yote yanayohitajika ili kutufikisha safari yetu salama.
Katika somo hili #1 ni muhimu tukaangazia...
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.
Mungu ni mwema wakati wote!
---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya...
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema
Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
Nawasalimu wote.
Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi yote poa.
Kuna Mambo mawili ambayo huwa nayafikiria Sana lakini sipati majibu, na Mambo hayo ni...
Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI.
Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.
Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
Mtafanya nini zaidi ya kuacha mafarakano? Maana taifa lina hitaji amani na mshikamano.
Sheria imefuata mkondo, mwamba yupo mahabusu. Hapa ni kusubiri sheria ifuate mkondo.
Hakuna haja ya kuwa na vinyongo, ungeni juhudi ili taifa lipate maendeleo. Hii ina maanisha kuwa mkubali matokeo na kuacha...
Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini.
Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu.
Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo.
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.