chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA anatuhumiwa kwa ugaidi, usajili wa CHADEMA usitishwe mpaka pale Mahakama itakapotoa uamuzi

    Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi. Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe. Pia, kama ambavyo mtumishi wa...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

    Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine. Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote. Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po. Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Tayari CCM wanatuletea mama Samia na CHADEMA tayari nao wanatuletea Lissu. Je! Mgombea yupi atatuvisha?

    Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo. Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu. Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama. Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani. Mama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Halima Mdee, Mbunge machachari wa CHADEMA?

    Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee. Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha? Jumaa kareem!
  6. escrow one

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini. Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
  7. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

    Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria. Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takriban shilingi bilioni 165 za...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kweli haipokei ruzuku kutoka Serikalini?

    Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku. Pili, jaji Mutungi atujuze kama CHADEMA hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa? Tatu, je ni halali...
  11. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo ili iwe na sifa za kushika Dola

    Najua hili bandiko litawakela Sana ndugu zangu wa Chadema lakini inabidi tuvumiliane tu. Kwa jinsi chama kilivoasisiwa inaonyesha kabisa kina nguvu kubwa sana ya kimfumo kutoka kaskazini. Sasa kwa hali hiyo isingewezekana mwaka 2015 na 2020 kupewa nchi. Hali hii ingeleta swala la ukabila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika na CHADEMA yako msipousikiliza Ushauri wa Nyerere's Think Tank Mzee Butiku hamtofanikiwa tena na Mabalaa Kuwaandama

    Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku akutana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa. Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
  15. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliona mbali kumpa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti, kichwa kipo imara sana

    Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu. Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Mchango Mmojawapo wa Chadema kwa Taifa

    ............ style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
  17. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanakosa huruma ya kisiasa toka kwa watanzania? Wanapuuzwa na Watanzania

    Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja. Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na hakuna sapoti ya wananchi. Sasa hivi mmezirukia mahakama kuwa hazitendi haki kwa sababu tu Mbowe...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

    Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
Back
Top Bottom