chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kuisafisha CHADEMA na tuhuma za 'usanii' na rushwa ya ngono, Wajumbe Kamati Kuu wajitokeze ku-declare interests

    Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
  2. T

    Ukisikiliza press ya Mbowe na ukisikiliza press ya Mdee pana Igizo la Kanumba

    Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba. Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC. Sasa CHADEMA itaonekanaje...
  3. M

    Kama tarehe 19 Tume ilipokea barua yenye majina ya Viti Maalum toka CHADEMA. Je, ilifanya lini mashauriano na CHADEMA?

    Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua. Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi "Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya...
  4. Mgogoro wa Wabunge 19 wa CHADEMA ni wa kimaslahi zaidi kuliko Kisiasa

    Tangu chaguzi za vyama vingi zianze mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa na malalamiko na madai hayohayo ya kuibiwa kura na tume isiyokuwa huru, lakini vyama vya upinzani havijaacha kuhudhuria vikao vya bunge wala kuteua Wabunge wa viti maalamu kwenda kuapa na kuhudhuria vikao vya Bunge. Mara...
  5. Ile CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim inajirudia kwa CHADEMA ya Mbowe na CHADEMA ya Halima

    Nakumbuka ilianza mzaha mzaha kama hivi. Huku wanafukuzwa, kule msajili anawatambua. Mwisho mgawanyo ukatokea na sote tuliona kilichotokea watu wakagawana fito na CUF ikabaki hii ilivyo! Sisemi CHADEMA nayo itakuwa kama CUF ila naona hii trailer inavyoanza ni kama movie ile Ile. Kipindi kile...
  6. T

    Facts Check: Mdee na kundi lake huenda wametekwa au walikuwa majasusi kindakindaki ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu watanzania awali ya yote nimshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupa pumzi kama Taifa Leo tupo hakika ni utukufu kwake. Awali ya yote niwausie na kuwashauri vijana wa SASA badala yakupenda bongo flavor na mambo ya dunia ni muda SASA yatupasa kufungua macho nakuanza kusoma...
  7. Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa Regency wakiwa wamevalia sare za CHADEMA almaarufu 'Gwanda'. Kuwa nami kukujuza watachokiongea...
  8. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
  9. VIDEO: Sakata la Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wanachama CHADEMA kufutiwa uanachama; Je, kuna anayemwelewa Spika Ndugai hapa?

    Mengine yaliyopita yote tunayaelewa... Hapa nimerudia kumtazama na kumsikiliza mara mbili tatu, sijafanikiwa kumwelewa kabisa. Kwangu mimi namuona kama mtu aliye "so desperate and confused". Hajali sheria wala taratibu ama katiba ya nchi tena... Spika Ndugai na wenzake huko CCM chini John...
  10. Spika Ndugai hana mamlaka ya kupinga maamuzi halali yaliyofanywa na Kamati kuu ya CHADEMA

    Nimeshangazwa sana na kauli aliyotoa Spika Ndugai hivi leo, wakati akiwaapisha wabunge wapya Humphrey Polepole na yule mwanamama Riziki Lulida, kuwa wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi zake 10 alizopewa kwa mujibu wa Katiba Spika Ndugai amenukuliwa akisema kuwa hatambui maamuzi...
  11. Je, ni kweli wanaikomoa CHADEMA? Au kuna watu/ kundi la watu wameamua kulikomoa kupitia CHADEMA?

    Nionavyo nyuma ya pazia kuna mambo magumu sana..Kuna kila dalili kuna kundi la watu aidha liko CCM au nje ya CCM ndio hukomelewa kwa maksudi kupitia CHADEMA. Hivyo kufanywa hivyo mpaka kuamua kusigina katiba ya nchi nje nje mlengwa wala sio chadema kama Chama cha Siasa. Wapo walengwa wake...
  12. M

    CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

    CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama. Orodha ya...
  13. Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

    Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa kuteuliwa kwa sababu ipo barua iliyotoka Kwao CHADEMA yenye Baraka zote ya wao kufanya hivyo! Ndugu...
  14. CHADEMA wajipange upya kama kweli wabunge wanawake 20 wenye nguvu ndani ya chama wamenunuliwa na CCM kwa mpigo

    CHADEMA BAWACHA ndio ilibaki nguzo pekee ya CHADEMA ya kuaminiwa. CHADEMA walilisifu sana BAWACHA kuwa eti wabunge na madiwani wote eti kwa kile kinachoitwa kununuliwa wabunge na madiwani walikuwa ni wanaume tu wanawake wa BAWACHA hawakukubali. Msimamo huo ulisababisha wabunge wanawake wawekwe...
  15. J

    CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

    Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko. Chanzo: Ayo tv Maendeleo hayana vyama!
  16. Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

    Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo. Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake. Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
  17. B

    Natamani kuona Serikali ikisimamia haki, usawa na utu kwenye maamuzi Kama wafanyavyo CHADEMA

    Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi. Hii nchi ina wasomi wengi na wapo CCM, nimefuatilia mjadala na mahojiano mbalimbali hakuna msomi Wala mbobezi yeyote aliyejitokeza kukosoa maamuzi ya...
  18. Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  19. CHADEMA mpya ya Mwenyekiti Halima Mdee kuzaliwa miezi mitatu ijayo ndani ya CHADEMA ya sasa

    CHADEMA MPYA YA MWENYEKITI HALIMA MDEE KUZALIWA MIEZI MITATU IJAYO NDANI YA CHADEMA YA SASA. Leo 22:20hrs 28/11/2020 Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist Party of China, itaisha kwa Chadema Mpya kuzaliwa ndani ya Chadema ya sasa baada ya...
  20. Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

    GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA. Leo 19:25hrs 28/11/2020 Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…