chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    Kwanini serikali isiwaombe CHADEMA iwasaidie kuzungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa?

    Sio siri ninavyoona mimi CHADEMA wakizungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kila mkoa tutapata fedha za kutosha, tusikae tukaona aibu au kujifanya tunaweza, inawezekana tukubali matokeo na tuombane msamaha kama kuna sehem tumekosea na hatukujua itasababisha mengine kukwama ili tufanye...
  2. U

    Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  3. J

    Nawatakia CHADEMA Christmas yenye baraka

    Kwenu Daudi Mchambuzi, Mrangi, Tindo, Salary slip, BAK, Chakaza, Mmawia Quinine, Molemo na Erythrocyte Nk....Nk. Ninawatakieni Christmas yenye baraka tele, kama kawaida mimi nitakuwa Useri kwa minajili ya kufunga mwaka. Bwashee erythrocyte wasalimie hapo Kyela akina mh Kinanasi na wengine...
  4. J

    CHADEMA na ACT-Wazalendo wametuonesha Umuhimu wa ile sheria ya Ushirikiano wa vyama wakati wa Uchaguzi

    Kwa sasa kuna kutoaminiana kati ya vyama shirika katika uchaguzi mkuu wa 2020 nikimaanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Kila kimoja kinalaumu kingine kwa maamuzi wanayochukua baada ya kufeli katika uchaguzi mkuu. Sheria ya ushirikiano wa vyama vya siasa inataka pawepo mkataba wa kisheria...
  5. Idugunde

    Kama Wabunge wote walioapishwa na Spika ni halali; Je, Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno?

    Mpaka sasa watanzania wengi tupo njia panda maana hatujui kama waliokuwa wanachama wa CHADEMA - 19 ambao walivuliwa uanachama na chama chao bado ni wabunge halali au la? Jana gazeti la mwananchi limemnukuu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisema wabunge wote aliowaapisha ni...
  6. Erythrocyte

    Katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga akamatwa na Polisi Mkoani Mbeya na kunyimwa dhamana

    Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana . Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa...
  7. K

    CHADEMA ina mtaji mkubwa kisiasa kuliko CCM na ACT wazalendo, ruzuku na madaraka visiwaondoe kwenye reli

    Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi. Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana. Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
  8. K

    CHADEMA imetulizana, UVCCM wanahangaika kujinasibu kama ACT-Wazalendo

    Unaweza ukaishi kwa mfalme bila amani. Unaweza kuishi kwa mfalme ukawa na hofu hata ya majirani wema wanaoendelea na shughuli zao. Unaweza ukapata fursa ya kumshauri mkubwa akabaki kuwashambulia majirani wanaojiendeleza. Ndivyo walivyo vijana wa chama tawala, muda walionao wangewekeza kushauri...
  9. E

    Tuzo ya uanaharakati bora aliyopewa Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti CHADEMA imetoa jibu

    Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA. Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake. Baadhi ya watanzania...
  10. J

    Wanaoishambulia ACT-Wazalendo kujiunga SUK wajiulize kama CHADEMA hawajapokea ruzuku ya Novemba 2020

    Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar. Kigezo ni kwamba CHADEMA na ACT-Wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi" Wanachosahau makamanda wa CHADEMA ni kuwahoji viongozi...
  11. J

    Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

    Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao. Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
  12. assadsyria3

    Mwanachama wa CHADEMA Iringa Mjini, Leonce Marto anashikiliwa na Polisi na kunyimwa dhamana

    Leonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji, uonevu ukiukaji wa haki za binadamu wanazofanyiwa wapizani.
  13. K

    Tatizo ni Wagombea wa CHADEMA au tatizo ni Wananchi wanaozidi kuwaunga mkono?

    CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni tofauti kwa ground. Imeanza kuibuka dhana yakuhujumiwa inayotolewa na madawani na wabunge. Mfano...
  14. J

    Komredi Polepole apokea wanachama wapya 300 wengi wao wakitokea CHADEMA!

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa leo amepokea wanachama wapya 300 wa CCM wengi wao wakitokea chama kikuu cha upinzani Chadema. Polepole amewataka wanachama hao wapya kuwa wazalendo na waaminifu kwa taifa. Source Channel ten. Maendeleo hayana vyama!
  15. S

    CCM v/s CHADEMA against ACT Wazalendo

    Kinachoonekana sasa ni kwa CCM kuitumia nafasi ya ACT Wazalendo kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko nchini Zanzibar ,CCM kwa kutumia sura mbalimbali inazojivalisha inaonekana inatumia wanachama wake na wa ndani wa vyama husika kutaka kujenga hoja na kuleta fitina ndani ya vyama vya...
  16. K

    Nini kimewarejeshea Profesa Baregu na Safari imani dhidi ya CHADEMA?

    Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema. Si Hawa tu Bali wasomi wengi wamejitokeza kwenye mitandao kuishabikia Chadema, Je, hii ni ishara kwamba...
  17. YEHODAYA

    Nafasi ya Godbless Lema ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

    Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
  18. M

    Maswali yangu kwa wanaoikosoa ACT Wazalendo na kuona CHADEMA ndio iko sawa zaidi

    Wasaalam ndugu zangu WaTanzania. Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada yangu.Toka ACT WAZALENDO ijiunge na serikali ya Zanzibar kumekuwa na minong'ono mingi sana na kuonekana kama ACT ni wasaliti kwa WATANZANIA. CHADEMA waliitisha kamati kuu kuwajadili kina MDEE kwa kukubali kuingia...
  19. J

    Je, kufuatia utetezi wa Spika Ndugai kwa wabunge wa Chadema kuna haja ya wabunge hao kukata rufaa baraza kuu kudai Uanachama!

    Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia. Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa...
  20. Idugunde

    GE2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

    Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka? NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli? Spika anadai hawezi kuvua ubunge wabunge ambao kwa mujibu wa katiba ya JMT sasa hivi hawana chama maana...
Back
Top Bottom