chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. comte

    CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha. Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
  2. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

  3. Erythrocyte

    Chadema yashauriwa kurekodi na kutangaza habari za kila mwanachama wao anayekamatwa na Jeshi la Polisi nchi nzima ili kutunza kumbukumbu

    Wadau mbali mbali wa siasa wa Ndani na nje ya nchi wamekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kinawatafuta wanachama wake wote waliokamatwa na Polisi popote Tanzania na kurekodi taarifa zao na kisha kutangaza majina yao kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani na nje ya Nchi ili...
  4. Kinuju

    Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

    Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa. Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika...
  5. Kibosho1

    Rekodi ya matukio: Kilichoikuta CHADEMA kwa Lowassa ndicho kitakachoikuta Yanga kwa Manara

    Kwanza nawaambieni ndugu zangu, dunia ya sasa usikiamini tena kiumbe kinachopumua. Level ambayo mwanadamu amefikia inafaa kumwamini tu siku ukiona anaingia kaburini kufukiwa. 1. Mwaka 2015 tunakumbuka wanasiasa mahiri na mawaziri wastaaf, Edward Ngoyai Lowassa na Frederick Sumaye. walienda...
  6. Bowie

    Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

    Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
  7. P

    CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  8. mmh

    CHADEMA, CCM na Serikali Vs Askofu Gwajima

    Huu ni Uzi wa tathimini yangu juu ya yanayoendelea kwa ujumla katika saga la Waziri na Askofu Gwajima. Siku zote CHADEMA wamekuwa wakiwaomba viongozi wa dini kukosoa na kuikemea Serikali ya CCM. Tumeshuhudia maaskofu kama Mwamakua, Shoo na Bagonza wakioneshwa kuwa mashujaa kwa wanachadema kwa...
  9. Erythrocyte

    Salamu za Rambirambi za Freeman Mbowe kutoka Gerezani zasomwa Kwenye msiba wa Mkwe wake, waombolezaji wabubujikwa na machozi

    Freeman Mbowe aliyeko gerezani kwa tuhuma za uongo amepoteza Mama Mkwe ambaye ni mke wa Mzee Edwin Mtei, hata hivyo hakukata tamaa, amefanikiwa kutuma salamu zake za rambirambi kupitia kwa mwakilishi wake ambapo ameonyesha masikitiko yake makubwa sana kwa kuondokewa na MZAA CHEMA katika kipindi...
  10. Erythrocyte

    CHADEMA: Kesi dhidi ya Mbowe kuanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua za awali Agosti 23, 2021

  11. Erythrocyte

    Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

    Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
  12. Shujaa Mwendazake

    CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
  13. Lord OSAGYEFO

    CHADEMA, ulinzi kwa viongozi wenu una dosari kubwa

    Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika. - Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama...
  14. B

    Chadema na Makamanda Tujifunze Mbinu za Medani #2

    Somo #1 lilikuwa kwenye kuutambua uwanja. Kutambua uwepo wa washirika, wadaiwa, maadui na wasiohusika kwa kujua au kutokujua kwao. CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1 Somo #2 mkononi liangazie kwenye kutambuana sisi kwa sisi kama wapiganaji. Ni muhimu tukayafahamu na kuyakubali...
  15. J

    CHADEMA na NCCR Mageuzi zakataa mwaliko wa Tume ya Uchaguzi, ACT Wazalendo bado wanatafakari!

    NCCR Mageuzi imeungana na CHADEMA kugomea mwaliko wa Tume ya uchaguzi kuhudhuria hafla ya usomaji wa ripoti ya uchaguzi mkuu wa 2020. ACT wazalendo bado wanatafakari. CUF mhhh.... Mungu ni mwema wakati wote!
  16. BestOfMyKind

    Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  17. BestOfMyKind

    Kinachoniuma mimi Mwananchi ni jasho langu kuwatajirisha wanasiasa

    Kinachoniuma mimi ni hela za jasho langu ndizo zinazowapa utajiri wanasiasa. Yaani mavazi ya raisi, safari za nje za raisi, magari ya wabunge na mishahara ya wabunge vyote ni jasho la wananchi. Lakini kama hiyo haitoshi, tumeongezewa kodi na tozo nyingine ambazo nazo zitaliwa na wanasiasa...
  18. Ritz

    CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

    Wanaukumbi. CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani? Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na...
  19. B

    CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1

    Mabibi na mabwana elimu haina mwisho na katika zama hizi za "Delta Variant" kujikita "ki-dijitali" ni muafaka zaidi. Tunapoikodolea macho katiba mpya ni muhimu tukajiridhisha kuwa tunafahamu yote yanayohitajika ili kutufikisha safari yetu salama. Katika somo hili #1 ni muhimu tukaangazia...
  20. J

    Mwanza: Wana-CHADEMA 19 wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu Kanisani

    Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki. Mungu ni mwema wakati wote! --- Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya...
Back
Top Bottom