chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    CHADEMA ushindi wa 2025 uchaguzi mkuu ni lazima - Tunafuta tozo za aina yote kwa mteja

    Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa. Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri wa nchi zenye kufukuwa petroli,kiujumla na zaidi ,mafuta yapo Tanzania ,serikali iliyopo na ambayo...
  2. THE BIG SHOW

    Kuanguka kwa CUF na kuanguka kwa CHADEMA hakurandani

    CUF na CHADEMA ni vyama viwili vya upinzani nchini vyenye uhai kias chake.. Kuondoka kwa Maalim Seif na Prof lipumba automatically CUF itakufa Natural Death.., But on the contrary kwa CHADEMA haiko namna hiyo,japo Mbowe na Slaa wamefanya kazi kubwa sana kuisimamisha chadema,lakni kuondoka kwao...
  3. beth

    Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake

    Mahakama Kuu Division ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa Leo Septemba Mosi, 2021 imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa upande wa utetezi, juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo wa kusikiliza kesi ya Ugaidi. Usikilizwaji wa kesi hiyo unaendelea. ===== Mahakama Kuu...
  4. MSAGA SUMU

    Mawakili wa CHADEMA kama wangekuwa sio wa kujitolea, wangekuwa tayari wamefukuzwa kazi mapema sana.

    Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana. Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa. Lema...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

    Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi. Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo. Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
  6. Erythrocyte

    Kyela: Polisi wazuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chadema

    Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde . Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa...
  7. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA, Sakata la marehemu Hamza lisifanye tukasahau matatizo yetu ya kisiasa

    Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa. Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama. Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo Ubelgiji na inaonekana hana mpango wa kurudi bongo. Sasa ni kama kuna ombwe la uongozi maana kama...
  8. kipara kipya

    Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

    Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee, Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu? Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
  9. msovero

    IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
  10. B

    CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

    Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa kuzisukuma mbele jitihada hizi takatifu za kuwafanya wahafidhina hawa kusikia ni Chadema. Ni wazi kuwa...
  11. K

    Wanaharakati na wana CHADEMA wamemtelekeza Mbowe

    Igweeeee Kuna kipindi hawa wanaharakati wa mitandaoni walijaribu kuiaminisha jamii kwamba wakikomalia jambo lazima walifanikishe lakini sijawahi kuona mafanikio yao tangu maandamano ya mange kimambi, kumdisqualify diamond, na sasa Mbowe si gaidi Hao wanachama wa chadema ndio kwisha kabisa...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Picha: CHADEMA ipo mioyoni mwetu

  13. Idugunde

    CHADEMA chuki dhidi ya taifa lenu inatoka wapi? Kwa namna hii mnastahili hata kiti cha udiwani?

    Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo. Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila namna yakitokea mnakenua meno. Yametokea hapo K' nondoni mnafurahia na kopost furaha zenu kana kwamba...
  14. Erythrocyte

    Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

    Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo. Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
  15. M

    CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

    Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha. Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto. Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana. Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
  16. comte

    CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha. Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
  17. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

  18. Erythrocyte

    Chadema yashauriwa kurekodi na kutangaza habari za kila mwanachama wao anayekamatwa na Jeshi la Polisi nchi nzima ili kutunza kumbukumbu

    Wadau mbali mbali wa siasa wa Ndani na nje ya nchi wamekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kinawatafuta wanachama wake wote waliokamatwa na Polisi popote Tanzania na kurekodi taarifa zao na kisha kutangaza majina yao kwenye vyombo vyote vya habari vya ndani na nje ya Nchi ili...
  19. Kinuju

    Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

    Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa. Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika...
  20. Kibosho1

    Rekodi ya matukio: Kilichoikuta CHADEMA kwa Lowassa ndicho kitakachoikuta Yanga kwa Manara

    Kwanza nawaambieni ndugu zangu, dunia ya sasa usikiamini tena kiumbe kinachopumua. Level ambayo mwanadamu amefikia inafaa kumwamini tu siku ukiona anaingia kaburini kufukiwa. 1. Mwaka 2015 tunakumbuka wanasiasa mahiri na mawaziri wastaaf, Edward Ngoyai Lowassa na Frederick Sumaye. walienda...
Back
Top Bottom