Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.
Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini.
Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!!
Karani wa mahakama:
Kesi namba 36/2022
Halima James Mdee na...
Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne.
Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi.
Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho.
Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu wengine ila mimi"
Na unapoanza kumuimbia mapambio ya kumsifu na kumuabudu unatenda dhambi...
Najua wengi wanadai Sera ya Majimbo italeta ukabila
Lakin Watu milioni 61 ni wengi sana
Je, huu siyo wakati muafaka CCM ikachukua Sera hii ya CHADEMA na kuifanyia kazi?
J3 Ubarikiwe sana!
Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma?
Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma?
Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma.
Miaka 30...
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
Chama cha ACT-Wazalendo kinazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bila kujali walipataje ofisi,lakini ACT wamepata ofisi nzuri yenye hadhi. Sasa wametaje ofisi hiyo ni mada nyingine kabisa.
ACT kupata ofisi kiujanja ujanja sio sababu ya nyie kutokuwa na...
Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya.
ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa chama dola wanaweza kutumia vyema rasilimali za umma
Ninyi mmekuwa kwenye siasa za Tanzania kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama hicho juu ya ripoti ya Kikosi Kazi.
Oktoba 23 mwaka huu, muungano wa vyama 14 vya upinzani ulitoa...
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla
Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la msingi kwenu
Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ?
Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi...
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla
Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la mwingi kwenu
Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ?
Kumbuka mtakutana na nchi ambayo imearibiwa kila sehem, wenda pia Azina mkakuta inasoma ziro maana Kasi...
Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.