Je, kuna usawa ndani ya CHADEMA?

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,860
12,291
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.

Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.

Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.

Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?

1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).

2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).

3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).

4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).

Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.

Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.

Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?

Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
 
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama sio vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.

Nikianza na Chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliopitiza kwenye safu yake ya uongozi.

Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina sheikh Ponda ndio maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?

1) Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe (mkristo)

2) Makamu mwenyekiti Tundu Lisu (kristo)

3) Katibu mkuu taifa John Mnyika (mkristo)

4) Makamu katibu mkuu bara Jonson Kigaila (mkristo)

Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.

Hapo sijagusia kina mchungaji Msigwa
Aliekuwa katibu mkuu padri Slaa nk. List ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.

Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?

Pole zimuendee sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia Chadema kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa wazi wazi katika uongozi wa chama hicho.
Umekwisha achika? Naona hasira zako umezipeleka Chadema badala ya CCM ambako familia zimejigawia chama.
 
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.

Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.

Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.

Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?

1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).

2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).

3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).

4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).

Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.

Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.

Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?

Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
Kwa hiyo CCM ndo Chama cha Waislamu? Akina shehe Ponda uliosema unawaonea huruma waende kwa Waislamu wenzao;
Samia,
Kinana,
Shaka
Alhad Salum,
 
Acha wabaki huko huko ili uongozi wa juu utapokuwa unawabatiza wanachama wao na wao wabatizwe pamoja nao.
 
Shehe Ponda siyo mwanasiasa ni kama tu alivyo alhad Salum pale Lumumba
Shehe wa Bakwata DSM akiwa na Mwenyekiti wa ccm DSM
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom