chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    CHADEMA waliona mbali kumpa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti, kichwa kipo imara sana

    Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu. Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
  2. Kichuguu

    Mchango Mmojawapo wa Chadema kwa Taifa

    ............ style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
  3. LAZIMA NISEME

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa...
  4. Idugunde

    Kwanini CHADEMA wanakosa huruma ya kisiasa toka kwa watanzania? Wanapuuzwa na Watanzania

    Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja. Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na hakuna sapoti ya wananchi. Sasa hivi mmezirukia mahakama kuwa hazitendi haki kwa sababu tu Mbowe...
  5. YEHODAYA

    CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  6. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

    Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
  7. J

    Katiba ya Tanzania ni ya nchi za kifalme na CCM ni "kama" dini ya Serikali hata CHADEMA wakiwa madarakani hawataibadilisha

    Katiba ya JMT imekaa kifalme na mkuu wa nchi amepewa nguvu za kifalme na katiba kwamba yuko juu ya kila kitu. Hata CCM ni chama kilicho katika mfumo kama wa dini kuna watu wanaamini katika CCM kuliko wanavyomwamini Mungu na hii hautaikuta katika vyama vya upinzani ambako wamejazana watafuta...
  8. Erythrocyte

    Ayubu Sikagonamo wa CHADEMA atimiza siku 378 gerezani bila kuhukumiwa

    Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema. Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa...
  9. DaudiAiko

    CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Wana bodi, NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi...
  10. Idugunde

    CHADEMA acheni kushupaza shingo mtaumia, tambueni hamna backup ya wananchi

    Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma. Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi. Habari za kutegemea uzushi wa...
  11. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

  12. M

    John Pambalu una kelele sana unapoongea katika Tv mpaka tunashindwa kuyapata madini yako mazuri

    Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa? Umeambiwa moja ya Sifa Kuu ya kuwa Kamanda wa CHADEMA na upate Umaarufu wa haraka ni Kuongea kwa Hasira, Kufoka...
  13. Lubebenamawe

    CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

    Chadema kimekuwa kimejinasibu kuwa ni chama chenye wafuasi wengi. Na wakati mwingine kimekuwa kikijitangaza kuwa kina wafuasi kuliko chama kongwe nchini na barani Afrika ukitoa ANC cha Afrika Kusini na MPLA cha Angola mnaweza mkanirekebisha wajuvi wa historia. Hivi karibuni viongozi wa Chadema...
  14. Ugumu wangu

    Chadema walianza na Mungu na wanamaliza na Mungu

    Habari ya usiku huu watu wa Mungu naimani mpo salama kabisa, kwangu Mimi Mniombee Sana tu maana naandika uzi huu Hali haiko sawa . Nimekuja kwenye jukwaa hili na kujaribu kuutangazia uma wote mjue japo si wote wataelewa na wengine watakebehi pia. Lakini kwa vyovyote vile ila nataka ujue kuwa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka

    Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi. Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa...
  16. Superbug

    Kwambali naanza kuielewa system yanatokea hayatokei kwa bahati mbaya chadema wanasaidiwa Ila hawaoni

    Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi. Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Dkt. Slaa akirudi Tanzania tumuombe arudi CHADEMA

    Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa. Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa. Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila...
  18. Erythrocyte

    Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  19. 4

    CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

    Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote. Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye...
  20. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
Back
Top Bottom