CHADEMA lialia tukutane hapa

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,408
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu.

Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME.

NB: Katiba mpya haiji kwenye keyboard, tuna mikakati gani (strategically) kutimiza Hilo?
 
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu. Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza Ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME

Kwani Nyerere alikaa madarakani kwa muda gani
 
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu. Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza Ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME

NB: Katiba mpya haiji kwenye keyboard, tuna mikakati gani (strategically) kutimiza Hilo?
Mwenyekiti atakaa madarakan mpaka ccm mtakapoondoka bila nyie kuondoka mwenyekiti hatoki mtake msitake.
 
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu.

Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza Ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME.

NB: Katiba mpya haiji kwenye keyboard, tuna mikakati gani (strategically) kutimiza Hilo?

Chukua fomu mwaka kesho ugombee uenyekiti wa CHADEMA.
 
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu.

Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza Ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME.

NB: Katiba mpya haiji kwenye keyboard, tuna mikakati gani (strategically) kutimiza Hilo?

Halafu mwanachama wa Chadema Hana haja ya kunitambulisha.
 
CHADEMA hatuamini katika demokrasia ya kweli. Sisi bendera fuata upepo. Watu wa matukio.
 
Sisi Chadema Kindakindaki tumeanza kumkubali na kumsifia Shujaa Mzalendo Hayati JPM.
 
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu.

Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha kumfanya, HAGUSIKI imekua kama UFALME.

NB: Katiba mpya haiji kwenye keyboard, tuna mikakati gani (strategically) kutimiza Hilo?
Mtajiita majina mengi mbwa nyie
 
ccm bila dola ni chama mfu, hakuna democracy ndani ya chama hicho, rejea interview ya president kikwete, president Magufuli halikua chaguo la ccm kuwa presidential candidate!,ccm imetawala Tanzania for more than 60yrs ila wale maadui watatu bado wapo, UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, na sasa wana binamu wao Rushwa, mkuu njoo huku lingusenguse ujioneee hali za maisha za lower class zipo vipi, unajiona middle class kisa unauwezo wa kupeleka mtoto wako kule English medium schools!,acha upumbavu
 
Asilimia 90% ya Wabunge wa viti Maalum ( vivid 19) Waume zao ni Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema ila ndio hivyo tena wanasema tusihusishe Maisha binafsi na Siasa kwa kifupi tusihusishe Maigizo na maisha halisi
 
Back
Top Bottom