chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

    Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

    Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana. Polepole alikuwa na Warioba...
  3. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

    Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana. Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Chama cha kisiasa kimebaki kimoja tu kwa sasa. Tuambiane ukweli bila woga

    Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe. Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwa na double standard? CHADEMA amkeni na acheni upoyoyo

    Video hapo juu ni mapokezi (maandamo) ya Zitto huko Tunduru na Polisi kabla ya hapo wali-fake kumzuia Zitto na baada ya simu moja ya maelekezo kusanyiko lile liliendelea na habari zake kama mnavyoona. Hoja hapa ni kwanini jambo fanani na hilo likifanywa na Chadema huzuiliwa tena kwa nguvu ya...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

    Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena. Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuanza Mikutano ya Hadhara Desemba 2022

    Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba. Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao tutatangaza ratiba na kuanza mikutano ya hadhara, mwaka 2022 hautaisha bila CHADEMA kufanya mikutano ya hadhara ambayo ni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Chadema waingia Tarime, Mikutano kadhaa kufanyika

    Novemba imeingia, sasa usije kusema hatukukuambia. Hii hapa ni Taarifa tunayoisambaza kwa Wapenda Demokrasia Duniani kote, kwamba Wazito wa Chadema waishaingia Kanda Maalum kwa lengo la kuwasha moto wa Demokrasia . Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko nyuma akitangaza kwamba CHAMA CHA SIASA NI...
  13. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mdee dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama haina tija ni ubadhilifu mwingine

    Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi. Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni uzandiki. Ina maana uwanja wa ndege wa Chato ungejengwa Bukoba ndio ajali isingetokea?

    Huu ni uzandiki usiofaa na usio na kipimo kabisa. Yaaani mnakuwa wanafiki na wazandiki
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  16. L

    JamiiForums Tanzania Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

    Ndugu zangu katika Ajali ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

    Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa. Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi? Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.? Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Forensic audit ifanyike kujua michango ya Chadema ya kidijital imetumika vipi. Haiwezekani tuchange kidijital alafu wawe na magumu.

    Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri. Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Back
Top Bottom