chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Faida gani Taifa lilipata kwa kuwakandamiza CHADEMA?

    Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia. Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa CHADEMA niliyemuingiza Bungeni mwisho akajiona Mjanja Fahamu 2025 sio mbali

    It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wanawake wa CHADEMA walivyokuwa wakimshangilia Samia, naamini chuki ni za kupandikizwa, na hazijafanikiwa

    Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha. Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waliodai vyama vya upinzani kushirikiana na Magufuli ni uzalendo, wakati wa Magufuli, sasa wanalalamika Chadema haikosoi Serikali

    Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake Hawa watu wana matatizo ya akili?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Hotuba za viongozi wa CHADEMA hazina tija kwa wananchi

    Katibu mkuu wa CCM bwana Chongolo amesema anateswa na hotuba za viongozi wa Chadema kwenye majukwaa kwani hazina tija yoyote kwa wananchi. Bwana Chongolo amesema ukiwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye hotuba zao kuanzia mwanzo mpaka mwisho hawataji mahitaji muhimu kwa wananchi kama hospital...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA tutaishi bila uchawa tutasema kweli Daima, tutanyoosha hatutaki Unafiki!

    Kauli nzito sana hii Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki Source: Jambo TV Siasa Bila Unafiki, Ngoja tuone!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Si CHADEMA tu, Vyama vyote vya Upinzani havina dhamira ya kushika Dola!

    Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia Kampeni Magufuli na kumuacha Mgombea Urais wa chama chake. Zitto anampigia Kampeni Tundu Lissu badala...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa CHADEMA, Godbless Lema kuwa Mjumbe wa Kamati yake Kuu ya Taifa, nashauri avuliwe ujumbe haraka sana!

    Ndugu zangu Watanzania, Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi, ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake, Ndio Nguzo ya chama,Ndio Tumaini la Chama,Ndio Ngome ya chama,Ndio moyo wa chama wenyewe, ndio kioo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anastahili kujengewa mnara

    Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuishinda Serikali ya Kikoloni kwa maandamano, alitumia akili. CHADEMA ipo kwenye njia sahihi?

    Kulikuwa na vyama viwili TANU & UTP, Baada ya kushinda ubunge akaenda UN kuishtaki UTP iachie nchi, akashtakiwa kwa uhaini na kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara, akajiweka karibu na mkoloni TANU ikashinda majimbo 70/71. Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  13. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

    Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi. Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM lakini CHADEMA haitakufa!

    Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo. Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe? Je, wahafidhina wa CCM ni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni msumari wenye kutu, haumezeki

    Mimi si mwanasiasa ila ni Mtanzania ninayenufaika na siasa. Kwa umri wangu mdogo, nimeona vyama vingi vikifa ikiwemo CUF, chama ambacho nilikipenda sana, ila baadaye nikaanza kuvutiwa na smartness ya Chadema, ingawa si mwanachama. Kwa mtazamo wangu, Chadema imejengwa kwenye msingi imara sana...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Halima Mdee na Wenzake 18 leo Machi 9, Dkt. Azavel Lwaitama kuhojiwa Mahakamani

    Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani. Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel watahojiwa. Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

    Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa soko la madini hayo litarudishwa jijini Arusha, akisema kiongozi huyo anadandia treni kwa mbele. Lema...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
  19. JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, maridhiano yako bila kuwasamehe wale wabunge 19 yatakuwa hayana maana

    Freeman Mbowe huwa anahubiri mambo ya kusema kweli na maridhiano wakati yeye si mkweli na hatabiriki misimamo yake kwani anauwezo wa kubadili gia angani haraka sana ili mradi kuwe na pesa mbele yake. Alifanya hivyo wakati anauza chama kwa Lowasa na amefanya hivyo tena wakati anaanza kupokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…