Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja.
Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa.
Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.
Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
Wanaukumbi.
Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako.
Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa...
Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na...
Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu!
=====
Sisi tulipokuwa katika siasa za uke wenza ambazo @ChademaTz inaziona ndio mtaji hatukuwa kama wao. Tulipigana kweli kweli, tulikufa kwa mamia. Hatukupiga kelele tu mitandaoni, tuliandamana...
Nikiwaangalia na kuwasikiliza wanachadema mmoja mmoja kama Peter Msigwa, God bless Lema, Sugu Lissu, na vijana wengi wa chama hiki hakika ni wazuri katika kujenga hoja ukitafuta wanaccm waje kushindana na chadema kwenye mdahalo CCM watapoteza asubuhi saana
Lakini kwenye ubora wa taasisi CCM...
Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa.
Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo.
Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama...
Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani.
Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo
Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane
Tukashuhudia ubunifu wa...
Njia ya Mpinzani kuwaletea wananchi maendeleo nikumshinikiza mwenye dola aelekeze nguvu kwa wananchi na asilale.
Njia ya mwenye dola yakuwasaidia wananchi nikuwapelekea mahitaji Yao kama walivyoomba na kama ulivyoahidi.
Uchaguzi wa 2020 hatujui kama mlishindwa au mlishinda ila tunachojua ninyi...
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dkt. Slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya...
@bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.
Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri...
Hadi dakika za mwisho za kujiuzulu kwa Ndugai wana CCM wengi hawakujua wawe upande upi wa Spika au wa Rais. Ndio maana hadi sasa wabunge wengi wa CCM bado wapo kimya. Kwa upande wa upinzani hasa Chadema wao walichokuwa wanafanya ni kuchochea kuni, kuna waliokuwa wanampaka mafuta Ndugai kwa...
Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji...
Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow.
Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha.
Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba.
Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii:
Bado hakuna matamko yoyote rasmi ya kupinga au hata kukemea vikali kabisa ukiukwaji mkubwa huu wa haki za Mh...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.
Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.