chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM

    Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM. Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500 hadi 4,000 kilo moja, Maharage toka Tsh. 1,200 hadi 3,800 kilo moja, Unga kilo toka Tsh. 800 hadi...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa Magufuli mlilazimisha nchi iambiwe anaumwa nini ila kwa mwasisi wa chama chenu mnaheshimu haki ya usiri wa mgonjwa

    Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa. =========== Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

    Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi. Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake. Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi. Aomba msamaha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

    Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli. Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia. Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia. Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema. Apumzike kwa Amani .
  6. voicer

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

    Lema Toa Elimu Badala ya kutukana! Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa) maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda kama kawaida yake. Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Jedwali hili linaeleza kinachoitwa maridhiano yanayoimbwa na Mbowe na CHADEMA yake

  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa awaasa watanzania kuenzi mazuri ya Hayati John Pombe Magufuli

    "Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Chanzo: Jambo TV
  11. J

    JamiiForums Tanzania Selasini asema CHADEMA iliviua vyama vingine 2015, Zitto asema ACT Wazalendo haifanyi siasa za kuachiana Majimbo

    Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe. Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nyamagana: CHADEMA kufanya Mkutano wa Hadhara leo tarehe 13/03/202, Lema atakuwepo

    Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana. Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania. Wote...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA oneni aibu basi kwa huu uwanja wa makoa makuu ya chama

  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Chadema tumekuwa watumwa wa CCM wanatugeuza wanavyotaka

    Hii ni aibu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kama siyo kukihujumu chama kimaridhiano, nitakuwa wa mwisho kuamini Lema na CHADEMA wana ajenda ya kuifuta Bodaboda

    Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema! Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri! Pamoja na yote hayo! Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo! Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi...
  16. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya . Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Faida gani Taifa lilipata kwa kuwakandamiza CHADEMA?

    Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia. Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa CHADEMA niliyemuingiza Bungeni mwisho akajiona Mjanja Fahamu 2025 sio mbali

    It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wanawake wa CHADEMA walivyokuwa wakimshangilia Samia, naamini chuki ni za kupandikizwa, na hazijafanikiwa

    Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha. Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia...
Back
Top Bottom