chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyoelewa kauli ya Mbowe ni kuwa lengo la CHADEMA ni kumsaidia Mama kuongoza vizuri na sio kushika Dola

    Asalam, Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
  2. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

    Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini? Kikao na Rais - Moshi Maandamano - Mwanza Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanufaika Migogoro na vurugu kati ya Serikali na CHADEMA Tafuteni kazi nyingine. Rais Samia ameliheshimisha Taifa

    Namna watu walivyokuwa wakinufaika kutokana na migogoro kati ya serikali na Chama kikuu cha Upinzani. ➡️Kupata per diem ili kuendesha operesheni haramu dhidi ya watanzania wenzao ➡️Kwa kupachika watu kesi haramu za uongo kutokana na ugomvi binafsi ili wakiulizwa waseme huyu ni mpinzani wa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia alijaribu kuwapigia debe Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA?

    Kuna Tetesi kwamba Mh Rais alijaribu kushawishi Chadema kuruhusu Wabunge waliofukuzwa ndani ya chama hicho kwa usaliti waruhusiwe kuingia kwenye kongamano la Bawacha. Mtoa taarifa hiyo anadai kwamba Viongozi wa Chadema walikataa jambo hilo na kumuambiwa Mh Rais kwamba Jambo la Wasaliti hao...
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

    Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. 2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Makosa ya miaka mitano ya Hayati Magufuli yanasahihishwa sasa. Hongera CHADEMA kwa kuongoza hili kwa ufundi mkubwa

    Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika uhalisia wake

    CHADEMA imechagua kusema ukweli bila kubembeleza mtu au kikundi cha watu, eti hawa ni waalimu tusiwachokoze watatunyima kura waacheni hawa bodaboda ni jeshi kubwa litatunyima kura. Ukweli usemwe bodaboda sio ajira ni laana wachukie wasichukie, ruzuku chukueni ni haki yenu, Mwenyekiti wa CCM...
  8. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa CHADEMA kuanza kupokea ruzuku, akina Halima Mdee wanasameheka

    Nawasalimu waungwana wote wa JF, Nimesoma mahali kuwa CHADEMA wameanza kupokea ruzuku za kila mwezi zinazotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ulikuwa ni msimamo wa CHADEMA kuwa uchaguzi mkuu wa 2020 haukuwa halali na ulikuwa uchafuzi na si uchaguzi. Kutokana na kutokuwa halali, ulikuwa ni...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Mara nyingi sisi hupenda kuiga au kujilinganisha na hawa wenye demokrasia yao waliyoitengeneza kwa muda mrefu. Sasa nauliza, hizi mbinu za CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe inakidhi kweli mlinganisho wowote na wayafanyayo Democratic Party na Republican wa Marekani au Chama cha Labour na...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Leo TBC wako busy kweli kweli na mkutano wa CHADEMA...kwa kweli kumekucha!

    Picha inajieleza .... ====== Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyoandaliwa na baraza la wanawake la chama hicho...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiandae kuitikia salamu ya "CCM Oyeeee" kesho!

    Kweli Rais Samia ni Profesa wa siasa. CHADEMA inakufa hivi hivi. Ikumbukwe siasa ni Imani na ni Itikadi. Salamu katika siasa inabeba falsafa ya chama kama ilivyo salamu za dini. Huwezi kuingia msikitini ukasalimia "Bwana Asifiwe". Hiki kitatokea Moshi. Ni utaratibu wa kawaida Rais wa nchi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania CCM msijifanye nunda kupuuza Jamii Forum, Chadema wanabamba sana.

    ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe. Jamii Forum ni jukwaa muhimu mno kufanya siasa kutoa hoja na kujibu hoja maana JF kuna wajinga wachache tofauti na...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndani ya Domo la Chatu Siku ya Wanawake Kitaifa-Arusha

    Nawasalimu ndugu Watanganyika, Hiyo Leo 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha Upinzani. Risala zitasomwa na zitajibiwa kwa hotuba na maneno mazuri lakini kiukweli behind hiyo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila mada humu ndani ni CHADEMA tu?

    Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema! Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii. Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
  15. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wote wameunga juhudi kwa staili tofauti

    Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi. Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti. Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima. Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kuongea na Mapambano huenda pamoja

    Ni jambo la kheri kuwa CHADEMA itakuwa na ugeni mkubwa kesho. Uthibitisho thabiti kuwa upinzani siyo jinai tena. Pongezi nyingi kwa Mama Samia Rais wetu kwa hili. Hivyo basi itumike fursa hii vizuri kuendelea kuyaweka wazi yaliyo vipaumbele zaidi kwa maslahi ya watu. Mfano: 1. Katiba Mpya 2...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni elimisha na amsha CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Operesheni ELIMISHA na AMSHA CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

    Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni kama wanachama wa CHADEMA hawaelewi kinachoendelea juu ya kesi ya Mdee lakini tulisema siku nyingi.

    Mbowe ana mengi kifuani mwake na Mdee na wenzake wana mengi sana. Kitendo cha kujifanya wamesusa lakini nyuma ya pazia wanasasambua ruzuku kama kawa ni jambo lililowashtua sana wanaCHADEMA. Sitaki kusema mengi lakini tulioneemeshwa kuona kwa jicho la tatu tuliandika haya kupitia uzi usemao Kama...
Back
Top Bottom