chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Sir robby

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni Maridhiano na wabunge 19 kama mnavyofanya na CCM, mtawashangaza maadui zenu

    Hakika nimefurahishwa sana jinsi Rais Samia anavyofanya siasa zake. Hakika huyu mama anaijua siasa sana kuliko mtangulizi wake, hayati Rais Magufuli. Kitendo cha kukubali kufanya maridhiano na Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, wakati hayati Rais Magufuli aliombwa na Mbowe lakini alikataa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kuanzisha Operesheni Maalum nchi nzima kwa Mwaka Mzima bila kukoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza Operesheni kabambe ya kuzunguka Nchi nzima kuelimisha na kuamsha wananchi Nchi nzima. Operesheni hiyo ambayo Jina lake linahifadhiwa kwa sasa imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe alipokuwa anaongea na Waandishi wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimeacha CHADEMA vijana wengi imara, vyama sita vimeniomba nijiunge nao

    Dr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima. Kwa upande mwingine amesema yeye sio tena mwanachama hai wa chadema na hata hivyo vyama sita vimemuomba ajiunge...
  4. system hacker

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  5. iamLyenda

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe...
  6. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

    Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!! Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Chadema, Ndugu ACT Wazalendo amesema kuwa Chadema imepokea ruzuku!

    Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila dalili tukapata coalition ya CCM na CHADEMA kabla 2025 huku bara

    Hii kasi ya uongozi wa CHADEMA kupongeza na kuunga mkono uongozi wa Mama tangu Taifa hadi huku mashinani, ipo kimkakati sana. Inavyoonekana kuna namna CHADEMA wamevutiwa sana na utendaji wa Mama kwa hivyo wameona hakuna sababu ya kulumbana naye isipokuwa kumuunga mkono. CHADEMA ninayoifahamu...
  9. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

    Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku. Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama. Bado...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

    Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo: 1. Kipaumbele chao ni kupatikana kwa Katiba mpya. 2. Hawatakuwepo uchaguzi mkuu wa mwaka 2024/25 bila Katiba mpya. Baada ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Chadema ni Team Samia kwa ushindi wa 2025

    👉Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025.. 👉Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja sasahv mama huna upinzani kwa chadema sijui vyama vyama gani huna.. 👉Umemsafisha Magufuli maana yalisema...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasemehewe hawajui walitendalo kwani umasikini wao unawaponza na kufanywa kuwa mavuvuzela

    ELEWA, waathirika wakubwa wa utawala wa Rais Magufuli sio CHADEMA au vyama vya upinzani, bali waathirika wakubwa ni kikundi fulani ndani ya CCM, ambacho kinajulikana kwa sasa kama Walamba asali/WAHUNI. Hayati Magufuli aliwahi kusema kuna kikundi fulani ndani ya CCM ambacho hakipo tayari kwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Bodaboda msilie wala kuumia, CHADEMA haioni umuhimu wenu lakini CCM inawajali na kuwaheshimisha

    Sio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana. Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakati wenzenu wanaunga mkono juhudi mliwatukana kuwa wamenunuliwa. Je, leo hii nanyi mmetolewa kwa mkopo?

    Hili liko wazi, CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala. Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala...
  16. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameishiwa sera inatakiwa wajipange

    Kiukweli inasikitisha sana viongozi wa Chadema waliokuwa wanasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi wanakuja na sera za ajabu hili ni anguko kubwa na kwa sera hizi Chadema wajiandae kugombea ubunge na Udiwani tu lakini kamwe hawawezi kuchukua kiti cha uraisi wanapoteza muda. Lakini Rais Samia...
  17. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoyah aishauri CHADEMA kuwa makini na Katiba Mpya

    Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora. Wajackoyah amesema suala la Katiba mpya linahitaji muda na maandalizi mazuri na Chadema wasifanye makosa kama walivyofanya wao...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Wajackoya: Raila Odinga amenituma niwaombe msamaha CHADEMA

    Wakili Mwanaharakati Prof. Wajackoya amesema ametumwa na Mzee Raila Odinga kuwaomba msamaha Chadema. Mtakumbuka Raila Odinga alikuwa rafiki mkubwa wa Chadema, lakini urafiki huo uliingia mushkel wakati wa utawala wa awamu ya 5. Mzee Raila Odinga alifumba macho na masikio wakati rafiki zake wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Profesa Wajackoya: Raila Odinga alikuwa na CHADEMA akalega lega amerudi tena

    Nchi na mataifa mbalimbali sasa wanaendeleza hamasa ya kuungana na chama chenye malengo ya kuongoza nchi kwa misingi ya amani, umoja, na upendo, na maendeleo pia na kuimarisha diplomasia. Hii ni kutokana na itikadi na misingi mizuri ya kuanzishwa kwake. Prof Wajackoya, nguli wa sheria na...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema wamerudi Salama. Chadema wameanza kufanya Mikutano. Rais Samia ashukuriwe sana

    Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo ya kuimarisha Demokrasia yanazidi kushika kasi. Kubwa zaidi tangu Rais Samia ashike madaraka...
Back
Top Bottom