Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu.
Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima.
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika.
Lema ametoa ushauri huu twitani.
=========
Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa kodi.
Binafsi nauita huu ni Uwongo na Uzushi uliotukuka.
Wenje akamatwe na kuhojiwa, ndio ushauri...
Leo nimefika Kigoma kwa ajili ya mambo mbalimbali, lakini kwa kuwa chadema watakua na mkutano hapa imenibidi napo nitafute kujua nini kinaendelea.
Nimezunguka mitaa mbalimbali kuuliza wananchi kuhusu huu mkutano na wanasema nini kuhusu chadema, nimegundua Chadema huku hawapendwi. Wananchi wengi...
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa...
Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake
Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani!
Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
---
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho.
Video: BAWACHA wakifanya maandamano
Baada ya ofisi...
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji.
Makala ya leo ni kuhusu...
Wakuu,
Tunafahamu kumekuwa na minongono kuwa ndani ya CHADEMA kuna tofauti juu ya maridhiano yanayoendelea na CCM. Pamoja na Mh Mama Samia kukiri kuna wahafidhina Chadema na CCM wanaokataa mabadiliko, Pia tumemsikia Tundu Lissu akishangaa wenzake kuchekacheka kwa ahadi za ubunge.
Kuna kasumba...
Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika, nikawaza sisi Tanzania wanasayansi wetu wanasaidiwa vipi na CCM kufanya tafiti mbali mbali kwa maslahi ya...
Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City kupitia FOX TV na Apple TV, wamepata fursa ya kushuhudia Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania...
Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19.
Ni nini maoni yako.
Karibuni.
Angalia leo hii wanavyosifia na kueneza namna rais Samia anavyopiga kazi
Kuanzia kuongeza mishahara watumishi wa umma, kutimiza mahitaji ya wananchi kama kununua vifaa tiba na madawa. Wanasifia na kulelezea vyema
Sasa sijui ni kwa nini? Au asali imekolea kwa cheamani?
Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga.
Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.