chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Huo ndio Ukweli japo ni mchungu Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto" Jumatano iwe Njema kwako, amen!
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Oparesheni +255 yaingia Mkoa wa Katavi, leo ni zamu ya Mpanda Mjini

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kenyatta anaposimama na Odinga, CHADEMA mnayo ya kujifunza

    Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani. How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini? Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikitwaa Madaraka 2025, nitapendekeza Byakanwa avuliwe Ubalozi, hana sifa hiyo

    Tumekwishaandika humu mara kadhaa kwamba wale wote waliosababisha uchafu kwenye nchi hii hawapaswi kuwa Mabalozi, Hii ni kwa sababu Balozi ni Mwakilishi wa Nchi yetu kwenye mataifa mengine, yaani Balozi ndio Taswira ya Nchi yetu kule Ugenini. Mtu kama Gellasius Byakanwa, mtu mwenye roho mbaya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Sera ya uchaguzi CHADEMA 2020. Ugatuzi wa madaraka, sura pili ukurasa wa 12

    Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo. Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji. Vyama vyote viwili vinashabiiana...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
  9. Lanlady

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  10. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Freeman Mbowe atikisa Kasulu Vijijini, elimu ya Katiba Mpya yaendelea kutolewa

    Baada ya Uzinduzi wa Ikulu Mpya huko Chamwino, mambo mengine ya msingi yangali yanaendelea. Ile Operesheni ya 255 kama unavyoona pichani ingali inaendelea kwa kasi kubwa. Huko Kasulu Chadema inaendelea kusonga mbele kwa kuendelea kufundisha umuhimu wa Wananchi wenyewe kwa jasho lao kuipigania...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Poleni sana CHADEMA kwa kuendelea kumwogopa Magufuli

    Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM. Nimeshuhuda mara kadhaa katika mikutano ya CDM inayoendelea. Hakuna Kiongozi anayemaliza mkutano bila kumtaja JPM. Hongera sana JPM kwa kuendelea kuwatisha CDM ukiwa kaburini. Kivuli chako kinawatisha CDM mpaka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaukwepa sana mkoa wa Kilimanjaro na Sabaya Hayupo?

    Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana. Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa Kulikoni? Nawatakia Sabato Njema!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

    Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wananchi mna imani kubwa na Chadema. Itaendelea kuwatetea japokuwa sasa asali ni kigingi

  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mpina vs CHADEMA nani zaidi?

    Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya kuagiza Helikopta. Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sisi na vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo sio maadui, lazima tusaidiane kuing'oa CCM

    Mbowe ameyasema hayo kwenye mkutano Kigoma, akisema kuwa mkoa wa Kigoma ni chimbuko la wanamageuzi ambapo imetoa wabunge wengi wa upinzani. Akaongeza kuwa anatambua Kigoma kuna vyama vingine vya upinzani ikiwemo ACT Wazalendo, na kwamba wao CHADEMA na vyama vingine sio maadui, lazima wasaidiane...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia Migulu

    Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu. Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima. Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika. Lema ametoa ushauri huu twitani. =========
Back
Top Bottom