Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wana-CCM.
Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni...
Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
Habari ya wakati huu ndugu zangu, karibuni tena kwenye mawazo ya kibeberu na Beberu J
Katika mizahania ya siasa Tz kuna vyama viwili vya upinzani ambavyo navyo unaweza sema vinapigania kuwa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA ya bwana Mbowe na ACT wazalendo ya kwake Zitto, mifarakano ya hawa...
Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
John Heche
Akiwa kwenye mjadala wasafi fm, John Heche amekanusha uvumi aliolizwa na mwandishi kuhusu kuwepo kambi mbili ndani ya Chadema huku yeye Heche akiwa kambi ya Tundu Lissu.
Heche amesema mara ya kwanza kuingia kikao cha kamati kuu ilikuwa 2011 na alikuta mjadala wa fedha unajadiliwa...
Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia!
Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi:
Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele
Ameyatamka TAL rais wa wapenda haki hapa nchini.
Katiba mpya ni sasa tuunganishe nguvu zetu.
"Tunahitaji kupambana na...
Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM.
Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
Na Thadei Ole Mushi.
Kuna nyimbo zinaimbwa sasa na watu wa karibu na Mbowe kuwa Operarion 255 zinatumia fedha za mwenyekiti Mbowe na kuwataka watu wengine kuchangia chama kama Mbowe anavyofanya.
Ok twende sawa hapa
Haya yanayotokea CHADEMA hata CCM yapo kama kulivyo na ujinga mwingi sana...
Hello!!
Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano yao wakihimiza bidii ya kazi.
Na wakahusisha ratiba za mikutano yao na kauli mbiu tufanye kazi...
Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu.
Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano.
Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya
Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji...
Drama inaendelea baada ya jana Voronica France kujitokeza kuomba msamaha Baba askofu Mwamakula na Viongozi wa wa CHADEMA
https://www.jamiiforums.com/threads/veronica-france-amuomba-msamaha-baba-askofu-mwamakula-na-viongozi-wa-chadema-naye-akubali-msamaha-wake.2099988/page-2
Naye Mjumbe wa...
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni
Erythrocyte
Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya...
Habari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe.
Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.