chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kushindwa kutoa msimamo kuhusu bandari kimejiondolea sifa. CHADEMA inaitumia fursa hiyo kuwasulubu

    Chama cha ACT Wazalendo kilijijengea jina kwa kusimama juu ya masuala muhimu na makubwa. Kilitoa chambuzi nyingi juu ya uchumi, hali ya kisiasa na mambo ya uongozi Hata hivyo chama hicho kimegeuka bubu kwenye suala la Bandari. Chama kimeshindwa kutoa msiamamo wa chama katika suala hilo nyeti...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  3. JamiiForums Tanzania Operesheni 255 yaendelea kutikisa Geita Vijijini, Dkt. Musukuma akalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World. Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
  4. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

    Nimewahi kuandika na narudia kuandika kwamba wanaojiita Wapinzani Wakuu ambao wanataka Kuchukua Dola zaidi ya kulaumu,kutukana na kutoa mifano ya Nchi za Ulaya umewahi wasikia wakija na njia ya utatuzi wa Changamoto yeyote kwenye jamii? CHADEMA ni chama cha wahuni wasiojitambua, wana mengi sana...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo umeshatangazwa CHADEMA msikimbie

    Nimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani. Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili watu wakaomba ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya ruzuku ya CHADEMA au pengine kutaka isitishwe kutolewa

    Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo: Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake. Pili, watu...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

    Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

    Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa. Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya.... 1-PTSD 2-BDD magonjwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sikilizeni CHADEMA hakuna aliewakataza kushiriki katika michezo

    Friends and our Weak Enemies, Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA mfukuzeni Lissu mapema au mdhibitini la sivyo yaliyowakuta CUF yatawakumba na ninyi

    Tundu A. Lissu, homeboy ni mwanasheria mzuri na mwanasiasa machachari sana, hapa ninakiri kumkubali. Kiongozi huyu anaewapeleka chadema kwa kasi ya 4g pasina kueleweka anako wapeleka. Kimsingi hatabiriki kesho atakuja na stori gani na dhihaka gani kwa viongozi walio hai na wasio hai japo yeye...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapanga ziara na mnasahau viongozi wenu watalala wapi halafu tuwape nchi?

    Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii; Kamanda Maro Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu walilala eneo lingine baada ya kukosa nafasi hoteli ya Twiga. ‘’Baada ya kukosa nafasi ya kulala...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Polisi Chato wasema gari la CHADEMA lililoharibiwa na watu wasiojulikana Agosti 2, 2023 lilikuwa bovu

    Nimecheka sana, tuna Askari wa ajabu sana sana. Waliruhusu gari bovu likazunguka kote likaenda kuungulia Chato baada ya vitisho vya Wasira na uvccm. Such a pathetic statement!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Freeman Mbowe M/Kiti - CHADEMA Taifa (Nyehunge - Buchosa Sengerema) na Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti kule Chato inatoa ujumbe muhimu sana!

    Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu.. Leo Freeman Mbowe, Mwenyekiti Taifa (CHADEMA) amehitimishia mikutano yake mji mdogo wa Nyehunge Jimbo la Buchosa Wilaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  15. JamiiForums Tanzania CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  16. JamiiForums Tanzania UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe. Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha CHADEMA ikakosa mvuto?

    Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CHADEMA yadorora

    Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji. Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mafarisayo wa Chadema Msiwapoteze waTanzania

    katika moja ya clipu zinazotembea mitandaoni ni hili la wanasheria aka mawakili waliokuwa wakisema kwa kutoa povu kali kuufafanua mkataba wa bandari na uhusiano wa Dubai kama ni nchi au la. Kumbe waliyokuwa wakiyasema yote ni yale waliyoyaona kuwa wananchi watayapokea na kuyaamini. Tunasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…