Mafarisayo wa Chadema Msiwapoteze waTanzania

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,180
katika moja ya clipu zinazotembea mitandaoni ni hili la wanasheria aka mawakili waliokuwa wakisema kwa kutoa povu kali kuufafanua mkataba wa bandari na uhusiano wa Dubai kama ni nchi au la.

Kumbe waliyokuwa wakiyasema yote ni yale waliyoyaona kuwa wananchi watayapokea na kuyaamini.
Tunasema Allah hamfichi mnafiki,waliyoyasema yote ni majungu na upotoshaji mkubwa usiowahi kutokea kufanywa na wanasheria au tuwaite mawakili.

Ipo haja ya watu hawa kujitokeza na kuomba msamaha kwa WaTanzania,kwa uwongo waliousema hata vibali vyao vinaweza kuwepo katika hatohati.
 
WATANZANIA WALIKWISHAPOTEZWA NA CCM MIAKA 60 ILIYOPITA NA WEWE UKIWEMO
INACHOKIFANYA CHADEMA NI KUWAZINDUA WATANZANIA KWENYE HUO UPOTEVU na USINGIZI MZITO
CCM IMEWAFANYA WATANZANIA MASIKINI WA KUTUPWA LICHA YA RASLIMALI TULIZONAZO
CCM INAWAITA WATANZANIA WANYONGE NDANI YA NCHI YAO
CCM NA VIONGOZI WAKE NDIO WANAKULA KEKI YA TAIFA
CCM INACHEZEA JATIBA YA NCHI ITAKAVYO
LEO CCM INATULETEA WABUNGE WASIO NA CHAMA NDANI YA BUNGE LETU
LEO CCM INACHEZEA KIDI ZA MASIKINI KUWALIPA POSHO NA MISHAHARA WABUNGE FAKE MAMBO MABAYA NI MENGI CCM INAWAFANYIA WANANCHI
TUNAWAPONGEZA CHADEMA KUTUFUMBUA MACHO
CCM imehodhi MADARAKA kwa WAZEE Kugoma kuachia Madaraka na kuwafanya VIJANA wageuke Machawa
CCM inawadanganya Wananchi
dw_kiswahili_1690475383281539.jpg
 
CCM inawadanganya Wananchi View attachment 2703466

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe waliyokuwa wakiyasema yote ni yale waliyoyaona kuwa wananchi watayapokea na kuyaamini.
Tunasema Allah hamfichi mnafiki,waliyoyasema yote ni majungu na upotoshaji mkubwa usiowahi kutokea kufanywa na wanasheria au tuwaite mawakili.

Tuambie kipi nikweli?
 
katika moja ya clipu zinazotembea mitandaoni ni hili la wanasheria aka mawakili waliokuwa wakisema kwa kutoa povu kali kuufafanua mkataba wa bandari na uhusiano wa Dubai kama ni nchi au la.

Kumbe waliyokuwa wakiyasema yote ni yale waliyoyaona kuwa wananchi watayapokea na kuyaamini.
Tunasema Allah hamfichi mnafiki,waliyoyasema yote ni majungu na upotoshaji mkubwa usiowahi kutokea kufanywa na wanasheria au tuwaite mawakili.

Ipo haja ya watu hawa kujitokeza na kuomba msamaha kwa WaTanzania,kwa uwongo waliousema hata vibali vyao vinaweza kuwepo katika hatohati.
Shwaini
 
Jamani mnaotaka bandari itwaliwe na waarabu wa dini yenu! hamieni arabuni ila bandari ng'ooo haiendi popote!
 
Back
Top Bottom