Uchaguzi mdogo umeshatangazwa CHADEMA msikimbie

Msajili wa vyama ifike mahali vyama visivyoshiriki uchaguzi vifutwe.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huyo msajili ni sehemu ya uchafu kwenye chaguzi hizi. Ni bora yafanyike mapinduzi ya kijeshi ili kama nchi tuanze upya. Kuendelea kushiriki kwenye chaguzi hizi za kishenzi ni kukosa akili.
 
Tume "huru" inakuwaje?
Haifuati anachotaka rais na chama chake. Enzi za kupotezea watu muda wakati na mna matokeo mfukoni umepita, ni aidha machafuko, au mapinduzi ya kijeshi ili tuanze upya katika utawala wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom