chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapanga ziara na mnasahau viongozi wenu watalala wapi halafu tuwape nchi?

    Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii; Kamanda Maro Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu walilala eneo lingine baada ya kukosa nafasi hoteli ya Twiga. ‘’Baada ya kukosa nafasi ya kulala...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Polisi Chato wasema gari la CHADEMA lililoharibiwa na watu wasiojulikana Agosti 2, 2023 lilikuwa bovu

    Nimecheka sana, tuna Askari wa ajabu sana sana. Waliruhusu gari bovu likazunguka kote likaenda kuungulia Chato baada ya vitisho vya Wasira na uvccm. Such a pathetic statement!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Freeman Mbowe M/Kiti - CHADEMA Taifa (Nyehunge - Buchosa Sengerema) na Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti kule Chato inatoa ujumbe muhimu sana!

    Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu.. Leo Freeman Mbowe, Mwenyekiti Taifa (CHADEMA) amehitimishia mikutano yake mji mdogo wa Nyehunge Jimbo la Buchosa Wilaya ya...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  6. Chakaza

    JamiiForums Tanzania UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe. Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha CHADEMA ikakosa mvuto?

    Miaka ya kuanzia 2006 CHADEMA ilikuwa na mvuto sana nchini na CCM ilikuwa inawaogopa sana. Lakini ghafla baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA ikajifikia kifo cha mende; je walikosea wapi?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CHADEMA yadorora

    Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji. Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mafarisayo wa Chadema Msiwapoteze waTanzania

    katika moja ya clipu zinazotembea mitandaoni ni hili la wanasheria aka mawakili waliokuwa wakisema kwa kutoa povu kali kuufafanua mkataba wa bandari na uhusiano wa Dubai kama ni nchi au la. Kumbe waliyokuwa wakiyasema yote ni yale waliyoyaona kuwa wananchi watayapokea na kuyaamini. Tunasema...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

    CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa. Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP world na Tanganyika kutafsiriwa Kwa Kiswahili na kugawanywa bure kwa wananchi kupitia Chadema.

    Ni nini madhara ya Zoezi hili Iwapo Chadema watafanikisha Zoezi hilo? Tujadili Ili bila ushabiki.
  13. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni. My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Nay wa mitego kwa kuwapatia CHADEMA agenda

    Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA wa kupinga maendeleo kwa Watanzania umekwama tena Bukoba

    MKUTANO WA CHADEMA WA KUPINGA MAENDELEO KWA WATANZANIA UMEKWAMA TENA BUKOBA Leo BUKOBA Viongozi wakuu wa CHADEMA wapata AIBU Kubwa mara baada ya kufika uwanjani na kukuta kiwanja cheupe kama ilivyotokea Temeke Viwanja VYA BULIAGA Miaka ya Hivi Sasa Watanzania wanajua ukweli na ndio maana...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Vita ya nyomi CHADEMA (Bulyaga) VS CCM (Kirumba) sio poa wadau

    Siasa zetu na nyomi huwa haziachani. Wataalamu wa mambo wanadai chama kinachojaza nyomi kwenye mikutano yake ndio chenye uwezekano mkubwa wa kushinda kwenye uchaguzi. Sasa hivi nyomi si la uchaguzi tena bali ni pro ubinafsishaji bandari (CCM) dhidi ya anti ubinafsishaji (CHADEMA). Siku tatu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    SIRI IMEVUJA Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundu Lissu kuvuruga uwekezaji. Kamati kuu ya...
Back
Top Bottom