chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sinema ya CHADEMA: Sarungi, Newtown na msaidizi wa Lissu aliyetekwa Wanaswa Nairobi

    SINEMA INAENDELEA : Mwanaharakati Maria Sarungi, Hilda Newtown na Twaha, walivyokutwa kwenye kikao cha siri huko Nairobi cha kutengeneza sinema ya kupotea kwa kijana msaidizi wa Tundu Lissu ambaye hafahamiki hata na familia ya Tundu Lissu. CHADEMA wala waje na kitu kingine ila hili la kujiteka...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kahama: CCM, yaanza kuvunja Vizimba vya CHADEMA

    Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena. Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia. Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
  3. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Chadema Ikifa, Siasa za Vyama Vingi Zitakufa — Je, CCM Itabaki Salama?

    Katika siasa za kidemokrasia, uwepo wa upinzani si hisani kwa chama tawala bali ni sehemu ya mfumo wenyewe. Ndiyo maana swali la “ikiwa Chadema itadhoofika au kufa, CCM itabaki salama?” lina uzito mkubwa kuliko wengi wanavyofikiria. Kwa miaka mingi, imekuwa chama kikubwa na chenye mizizi...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sio Gambo tu zaidi ya makada 200 wa CCM kuhamia CHADEMA hii ni kwasababu CCM imeparaganyika tangu Oktoba 29

    Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema. Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu. CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na imekumbatia wapigaji. Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA Kiboko inatisha itawatoa Mapafu CCM

    Guys Chadema ilitisha sana kahama pamoja na.mizengwe ya CCM 1. NMB Wakagawa mitungi ya gas bure waaapi. 2. Leseni bure kwa boda boda waapi 3. Asili festival wapiii Watu walikataa yote hayo wakachagua Chadema.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Maduhu: Msajili sio mamlaka ya udhibiti, amejipa mamlaka ambayo siyo ya kwake

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amezungumzia mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu utoaji wa faini kwa vyama vya siasa, akibainisha kuwa Msajili anatumia kifungu cha 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa ambacho...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mange awashauri Chadema kuacha kupiga miziki na vibe kwenye mikutano

    Mwana dada na mwanaharakati Mange Kimambi amewaambia Viongozi wa Chadema kuwa wanapotoka kupiga miziki na kucheza wakati wa mikutano Hii haina tija ukizingatia wananchi wana majeraha ya kupoteza wapendwa wao, majeraha, hujuma katika uchaguzi , ufisadi n. K Kucheza mziki ni kuingia kwenye...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kwasasa ni Arsenal na Chadema ndiyo Habari ya mjini,Nyie wengine subirini kwanza!

    Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE) Nimefurahi mnooooo! Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania Ahsante Chadema...
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Kati: Tunahitaji Tundu Lissu awe huru, Haki inachelewa kupatikana

    CHADEMA Dodoma Yatia Shaka Mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu 'Haki Inachelewa Kupatikana' wakiendelea kusema wanahitaji Mwenyekiti wao Tundu Lissu awe huru kwa sababu kesi iliyomuweka ndani mwaka mmoja na mwezi ni kesi ya kubabikiziwa. Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Ashura...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia CHADEMA kuzindua kizimba na kupandisha bendera zao katika kijiji cha Isaka

    Jeshi la Polisi wawazuia Chama Cha CHADEMA kuzindua kizimba na kupandisha bendera zao katika kijiji cha Isaka jimbo la Msalala mkoani Shinyanga
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Anajitambua huyu mama?. Yaani Chadema aifute kwa dakika moja?

    Eti anadai kuwa ataifuta Chadema ndani ya dakika moja
  13. R

    JamiiForums Tanzania POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

    Clip speaks for itself
  14. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi. Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  16. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Umaskini wa Watanzania ni wa kutengenezwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema umasikini wa Watanzania ni wa kutengenezwa, kutokana na nchi kushindwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata na kuongeza thamani Madini yanayozalishwa nchini, badala yake yanasafirishwa Madini ghafi nje ya nchi na kupeleka ajira za Watanzania...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, hii ni hali ya mahudhurio ya wafuasi wa CHADEMA Kahama?

  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

    Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

    Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine. Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa na Polisi, Mungu awape Moyo wa Uvumilivu. Hii CHADEMA ya Kahama itawatoa roho🤣🤣

    Polisi na Msajili wa vyama vya siasa wanapata kazi ngumu kudhibiti CHADEMA. Watamuambia nini Mzanzibari anayewatuma kudhibiti CHADEMA? Nawaelewa maumivu wanayopitia. Moja haikai mbili haikai. Wamebaki kuwapa hela content creators waseme ni picha na Video za AI. Mungu awape moyo wa Uvumilivu...
Back
Top Bottom