Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani.
Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema,
Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached the party, the crisis has escalated with strong calls for his resignation.
Chadema ya Tundu Lissu na John Heche wamekuwa na utamaduni mbaya sana hasa kuhusu VIFO.Kwanza wamekuwa VINARA wa kushangilia VIFO vyote vya Wanaccm na Viongozi wa Serikali "Utamduni" ambao hatukuwahi kuwa nao wakati wa Uongozi wa Mzee Freeman Mbowe.
Lakini pia wamekuja na utamaduni mpya tena...
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?
Na eti kwa kutokuvaa t-shirt za free Tundu Lisu ni usaliti wa kiwango cha juu sana kwa chadema?
Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana...
Nimeshangazwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba (PM) kuwa wanaChadema wanafanya harakati na kutukaa viongozi.
Ameenda mbali na kudai huko nyuma Chadema walikuwa wakimtukana hayati JPM
Napolingana na hii hoja maana viongozi wa Chadema wanaeleza kwa hoja namna CCM inavyotumika kitafuna pesa za...
Je,
ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa?
Na je tutegemee kuona mafarakano ya kisiasa ndani ya chadema taifa katika muda usiokua mrefu sana ujao?
Na...
Ila hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe!
Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa
Kuna mtu mmoja kawapa habari hiyo waichapishe nawao kwa sababu ya njaa zao wameruka nayo. Dah safari bado ni ndefu sana...
Mmeomba viinua mgongo kipindi mkiwa bungeni mmelipwa (Lissu alilipwa) mmeomba ruzuku zilizo kwama mmelipwa zote na Rais Dr Samia Suluhu Hassan,
Lissu ameomba Hela za matibabu amelipwa zote Leo tena anaomba fidia sasa hizo hela zinatoka wapi ili hali kutwa kuhubir vurugu? Kwanin chadema...
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.
Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.
Ilinichukua...
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu,
Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akihojia na kituo cha Redio cha VOS Juni 25, 2026 amesema "Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani."
Heche ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Bara amefafanua kuwa haki ya kukusanyika na kuandamana...
Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za rambirambi zinazotolewa na waombolezaji kwaajili ya wafiwa, na badala yake, wakusanyaji michango...
Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikidai kuwa kuwa na maneno yafuatayo "Kwa nini CHADEMA imemuua dereva wa Heche?"
Katika kufuatilia ju ya kile ambacho kimechapishwa imebanika kuwa graphic hiyo inapotosha umma kwa kutoa hitimisho lisiloungwa mkono na...
Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya.
Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed!
Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu.
Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio ukipende chama chako cha siasa (Mfano: CCM au CHADEMA).
Ndugu zangu, hivi vyama vinavyoitwa kuwa ni vya...
Nikiona Katambi Mimi simwoni kama mwanaccm, kamwe huyu ni zao la mbowe,
Najiuliza hata Dr Mashinji kweli au wakina lijualikali HAYA ni maproduct ya mbowe na heche.
Assalam alaykum
Kila mtu anafahamu kuwa nchi inapita kwenye mapito magumu mno kutokana na mzozo wa vyama hivi na kutunishiana misuli CCM wanatumia dola huku CHADEMA wakiwekeza katika harakati na madola makubwa ya dunia
Hali hii inatuvuruga sana kiuchumi na kisiasa na kimahusiano ya dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.