chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni HAKIKA na KWELI, Bila polisi CCM hawana uwezo wa kupambana na CHADEMA

    Hata kipofu kwa kutumia milango ya fahamu iliyobaki anatambua CCM bila polisi hawawezi kushindana na CHADEMA. Kila mtanzania hata ccm wenyewe wameshatambua kabisa kuwa ccm haina chake tena nchi hii. Hii kwa sasa haipingiki, ccm ina exist kwa nguvu ya polisi, siku polisi wakisema hawataki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kujaa kwa mikutano ya Chadema tafsiri yake Mama hakubaliki au CCM imechokwa?

    Toa maoni yako
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wakuu hii picha ni CHADEMA wakisomba watu kwenye mikutano huko Mbeya kama anavyosema Mohamed Kawaida?

  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM tutaendelea kujidanganya kwamba mikutano ya sasa ya CHADEMA haina madhara kwa CCM? Kweli?

    Ukisoma komenti zinazotolewa kwenye nyuzi zinazohusu mikutano ya chadema utaona kuna wanaccm sijui akili zimekuwaje. badala ya kufikiri tufanyeje ili kuiponya CCM na anguko kubwa tunabaki tunajifariji.kwamba Ccm wote tumeishia la saba ya vijini au? Dada yake Polepole kafika EU hatujiulizi...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni 'Namna Fulani' ya kuwatambua Wanachama waofanya vizuri katika kukichangia Chama ili kuongeza Hamasa kwa wasio Wanachama!!

    Kufanya vizuri katika kuchangia Chama , sio kwamba anayetoa Pesa nyingi. Kutoa Pesa nyingi ni jambo jema kwa kadiri ambavyo Mtu anabarikiwa !!. Tuangalie ' Consistency' ya Mwanachama katika Kutoa Mchango wake !!. Kama Chama kinaweza amua 1/Kutoa Tuzo kwa ngazi ya Wilaya au Mkoa au Taifa. Au...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ni nani anayewalisha akina Hilda Newton, Pambalu na Viongozi wengine waliokimbilia Kenya?

    Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza? Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

    Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣 Hebu pokeeni ukweli huu. chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu. wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
  8. Waterloo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA shikilieni hapohapo watanzania tupo nyuma yenu

    Napenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe. People's, people's, people's Powerrrrrrrr!!!!!!!!!¡!!!!!!!!!!!!!!!
  9. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatishia Maandamano nchi nzima kufufua mchakato wa Katiba Mpya na Lissu aachaliwe

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetishia kuandaa maandamano ya nchi nzima yenye lengo la kushinikiza serikali kufufua mchakato wa Katiba Mpya na kuachiliwa huru kwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msafara wa CHADEMA ukiwa Kasi kuwahi mikutano ya Chama Kanda ya Nyasa

    Hawa watu baada kukosa ruzuku nani anawalipa Posho za KUACHA familia zao na kuzunguka nchi nzima Maintenance ya magari Yao nani anawalipia gharama Maana kwenye tone tone mkoa uliochangia Hela nyingi ni 3 million kama sikosei. Najua wachangiaji wengi ni watanzania maskini wanaopenda chadema Kwa...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Siasa UNALIPa hizo Milioni 100 alizotenga Katambi wa CHADEMA kwa watakao ripoti taarifa kwake kazitoa wapi?

    Hizi ni fedha zake au za serikali? Kutoa taarifa za waarifu ni wajibu WA kila raia Ukiona. Hazitoki basi kaa kimnya yulozana
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Msafara wetu unafuatiliwa na vyombo vya dola, Sisi sio wahalifu, acheni

    Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema "Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini CHADEMA wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka?

    Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi. Unadhani ni kwanini wanatumia nguvu kubwa sana, na wanatamani kweli kuurejesha ukoloni Tanzania? Je, kama taifa...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

    Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema. Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda. Kaka...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ama kweli CHADEMA "pumzi imekata"

    Picha na video ikionyesha Chadema ikikata pumzi huko Njombe
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

    Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha. Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Toka kuanzishwa kwake Chadema haijawahi kuwa na Ushawishi Tanzania Zanzibar

    Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo. Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM. Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM washangilia baada ya kuvunja kizimba cha CHADEMA

    Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba. CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapigania katiba mpya kwa lengo moja tu. Wanadhani katiba mpya ndiyo itawapa nafasi ya kushika Dola

    Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa. Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania. Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
Back
Top Bottom