CHADEMA: Umaskini wa Watanzania ni wa kutengenezwa

CHADEMA: Umaskini wa Watanzania ni wa kutengenezwa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema umasikini wa Watanzania ni wa kutengenezwa, kutokana na nchi kushindwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata na kuongeza thamani Madini yanayozalishwa nchini, badala yake yanasafirishwa Madini ghafi nje ya nchi na kupeleka ajira za Watanzania nchi zingine ambapo wanamiliki viwanda vya kuchakata na kuongeza thamani Madini kutoka nchini, huku Tanzania ikibakia kuwa Masikini.
 
Back
Top Bottom