Kahama: CCM, yaanza kuvunja Vizimba vya CHADEMA

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,607
Reaction score
62,370
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.

Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.

Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
FB_IMG_1779289354810.jpg
 
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.

Ni Aibu kwa CCM ya huyo Mzanzibari Mzanzibari wennu Samia.

Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Hapa ndipo pazuri sasa. Wananchi kwa umoja wetu tukiamua kujibu mapigo watanyoosha mkono.
 
Sababu za kuvunja ni kwa sababu ya kujengwa na CHADEMA au ni sheria ya Ardhi au Manispaa. Kama sababu ni kwa kuwa kimejengwa na CHADEMA, basi CCM wamekata moto.
 
Hawanaga uvumilivu
 
Zama zinabadilika sana . Zamani ccm kilikuwa ni chama kikuu ila sasa chama kikubwa ni CHADEMA na ccm kimebaki kuwa chama kikongwe kilichokufa sera , mipango , uaminifu , uadilifu , upendo na kukubalika .

CHADEMA endeleeni hivyo hivyo wananchi wa sasa wanajitambua na kuona hali halisi ilivyo . KUMEKARIBIA kupambazuka uhuru wa kweli unakuja very soon.
 
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.

Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.

Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Yes,
nadhani ni vizuri mazingira yakawekea safi baada ya kuharibiwa na watu wa fujo, matusi na uropokaji nonsense 🐒
 
Kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara kwa hiyo ni sahihi kabisa kubomolewa
 
Sababu za kuvunja ni kwa sababu ya kujengwa na CHADEMA au ni sheria ya Ardhi au Manispaa. Kama sababu ni kwa kuwa kimejengwa na CHADEMA, basi CCM wamekata moto.
Si kweli.. Hata hivyo tangu kuaasisiwa kwa vyama vya siasa. Vizimba vinajengwa pembezoni mwa barabara.. Huwa haikatazwi sababu ni temporary..

Okay, tuseme barabara.. Na bendera na Mlingoti viko wapi? Kwanini muondoke na bendera?
 
Hapa ndipo pazuri sasa. Wananchi kwa umoja wetu tukiamua kujibu mapigo watanyoosha mkono.
CCM wamezoea kufanya ghasia za kuharibu mali.. Kwanini wajichukulie sheria mkononi? Kwanini wasiende kushitaki Polisi? Wangedhuriwa ingekuaje? Au ni kutafuta sababu wasema chadema wawapiga ccm?
 
Msijali! Chadema ipo mioyoni.
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.

Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.

Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Waache wajidanganye kwa kuvunja vizimba.
 
Kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara kwa hiyo ni sahihi kabisa kubomolewa
Na wewe upo huko Kahama?
----
Hakuna kilichonifurahisha huko Kahama, kama kurestishwa kwa MUGEJA kutokana na yale mambo ya 29'OCT. Alikuwa ana kiherehere baba yuleeeeeee... kama vile Nchi hii wasio CCM, hawana haki ya kuishi!
 
Back
Top Bottom