chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson anaishi maisha ya furaha na haoni shida ku-share furaha yake. Ninapenda watu aina yake

    Hamjambo Walimwengu! 1. Kuna wale watu ambao hupotosha na kuwaweka watu under the Cage, kwamba mtu hatakiwi kujipost akiwa na furaha au akifurahia. Jambo ambalo sisi Watibeli tunapingana nalo kwa nguvu zote 2. Sio kwamba hatujui kwamba kuna watu wenye wivu, tunajua Sio kwamba hatujui watu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Kusikilizwa kwa Mashauri Mawili Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es salaam Mei 13, 2026

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatano, tarehe 13 Mei 2026 Chama kitakuwa na mashauri mawili Mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Dar es salaam mbele ya Mhe Jaji Ngunyale. Mosi, Mapema saa tatu asubuhi, maombi madogo namba 8960 /2025, Said Issa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tulikodi uwanja wiki nzima ili CHADEMA wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia

    Mbunge Nape Nnauye amesema; "Tulikodi uwanja wiki nzima ili Chadema wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia" kupitia mahojiano yake na M&SPodcast inayongozwa na Omar Kashera pamoja na Salma Dacotha “Nakumbuka siku moja tumezindua Kampeni pale jangwani, Tumeanza sisi kuzindua tumejaza uwanja vizuri...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Upendo na Moyo Wa Huruma: Rais Samia Amsaidia Profesa J Million 30. Asema anafuatilia Kwa Karibu maendeleo yake kiafya. CHADEMA wao ni Majungu tu

    Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yailaani Serikali kwa kuizuia Tume ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea Tanzania

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali uamuzi wa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan wa kuzuia ujumbe rasmi wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea Tanzania. Hatua hii ni jaribio jingine la wazi la utawala huu haramu kuficha ukweli kuhusu mauaji...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kituo kinachofuata iwe Mwanza. CHADEMA wafanye mkutano mkubwa Furahisha. Wananchi wa Mwanza wapewe pole kwa ndugu zao kuuliwa

    Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam. Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo Vietnam. CHADEMA nendeni Mwanza mkawape pole wananchi wa Mwanza. Mueleze ukweli tofauti na tume ya Jaji...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuwa Chadema ni IMANI. CHADEMA ITASHINDA. SIKILIZA CLIP HII

    Chadema ni Imani. Imejengwa kwa imani katika mioyo ya watu, including me and you!
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Chadema mna edit picha za watu kwenye mikutano yenu kwa faida gani? Au mmeambiwa hizo ni KURA?

    Mimi Jana nilikuwepo Arusha hakukuwa na watu kabisa kwenye mkutano wa Lema na ukiangalia kwenye social media picha ni tofauti na uhalisia eti chadema mnafanya hivo kwa faida gani? Acheni usela usela nyie matapeli wa kisiasa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Spana wanazopiga CHADEMA kwenye mikutano ya hadhara, ni kali sana na sidhani kama watawala wataweza kuvumilia ukweli wanaoambiwa

    Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda. Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  13. K

    JamiiForums Tanzania Chadema huwezi kuiweka pembeni ni watu zaidi ya 9 M

    Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Kwa huu mziki waliouwasha CHADEMA Leo huko Arusha kama kungekuwa na tume huru na Katiba mpya CCM wasingetoboa uchaguzi 2025

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru Leo...
  15. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marufuku ya Siasa, CHADEMA yarudi Kwa Kishindo Arusha

    Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Godbless Lema: Watu wa Ikulu walipiga simu wanaomba watu wa CHADEMA isaidie kutuliza maandamano

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani Golugwa, walimpigia simu na kumueleza kuwa watu kutoka Ikulu walikuwa wanataka kuzungumza na viongozi wa...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Pwani: CHADEMA wataka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wakamatwe. Mchakato wa Katiba umalizike mwaka 2027

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Pwani kimesema kasoro zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikikwamisha maendeleo ya halmashauri pamoja na Mkoa wa Pwani kutokana na usimamizi usioridhisha wa mapato ya umma. Kauli hiyo...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waikosoa vikali kauli ya Rais Samia ya "kukamatwa na kuwachapa mikwaju wanaharakati"

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli ya ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Samoei Ruto. Ndugu Samia alimtaka Rais Ruto awakamate na kuwachapa mikwaju wanaharakati mwanaotoka Tanzania na akasema kuwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kuna Wakili alipigwa Mahakamani kama wanaua nyoka, wengine wakasema ‘eti huyo ni CHADEMA”

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa akipigwa mahakamani kama watu wanaua nyoka. Niliona wakipiga wakili Mahinyila. Na wengine ukiwauliza...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Jiulize, hivi CHADEMA ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa kama yule Shehe.

    Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi. Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
Back
Top Bottom