celebrities

Celebrity is a condition of fame and broad public recognition of an individual or group, or occasionally a character or animal, as a result of attention given them by mass media. A person may attain a celebrity status from having great wealth, their participation in sports or the entertainment industry, their position as a political figure, or even from their connection to another celebrity. 'Celebrity' usually implies a favorable public image, as opposed to the neutrals 'famous' or 'notable', or the negatives 'infamous' and 'notorious'.

View More On Wikipedia.org
  1. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania The highest paid celebrities on Instagram

    10. 2 of Amerikaz most wanted $ 0.000.000
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa celebrity ni sifa nzuri kwa jamii zetu?

    Nimekuwa nikitafakari hili neno maana wanaojiita celebrities wanajivunia sana kuitwa hivyo. Celebrity ana sifa zipi?
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo: Star wa dunia

    Cristiano Ronaldo a boy from Madeira ureno Hadi kuwa superstar wa DUNIA kwenye mtandao unaotumiwa na watu wengi duniani Instagram, kuhama kwake ulaya kwenda uarabuni kumeleta mabadiliko kadhaa kama wachezaji wengi maarufu wa ulaya kuhamia uarabuni it was marketing strategies najamaa kweli wame...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Legends gone too soon

    Teddy Pendergrass 59, Marvin Gaye 44, Luther Vandross 54, Barry White 58. Legends, Gone too soon.
  5. S

    JamiiForums Tanzania What methods you use to understand you favorite celebrities net worth

    As for me I have this kind of a passion of going to a celebrity previous interview and do my analysis on how the celebrity is growing or maybe falling. I want to hear from you guys lets share ideas. Below, I share with you my reasons why you need to start going back to your favourite celebrity’s...
  6. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

    Mke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre. Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda mwingine kwenye Mapumziko Binafsi. Kwa mujibu wa TMZ kupitia vyanzo vyao vya kuaminika inaonesha...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  8. babu M

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

    Russian oligarch Roman Abramovich is reportedly begging his rich friends including Hollywood director Brett Ratner for £765,000 ($980,000) loans to help him pay his staff after being sanctioned by London and Washington, US sources have claimed. The Chelsea Football Club owner, who has been...
  9. Blenderz Entertainment

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malak Phainzzy/Blenderz Entertainment

    Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  11. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

    Hello 👋 Ingependa kujuzwa kwanini Celebrities wengi hasa actors wa hollywood wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri. Tatizo ni nini hasa maana kwa pesa na umaarufu wao wanaweza kupata mwanamke yoyote mzuri n young watakae. Btw. Mapenzi ni kupenda pale roho yako ilipopenda na inafurahi kua...
  12. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African celebrities with most Instagram followers

    MOST FOLLOWED AFRICANS ON INSTAGRAM 2021 1-DAVIDO🇳🇬 20M 2-YEMI ALADE🇳🇬 13.8M 3-DIAMOND PLANTINUNZ🇹🇿 12.2M 4-TIWA SAVAGE🇳🇬12.4M 5-WIZKID🇳🇬12.1M 6-DON JASSY🇳🇬???? 7-TECNO🇳🇬 8.6M 8-OLAMIDE8M 9-SHILOLE🇹🇿 7.6M 10VANESSA MDEE🇹🇿 7.2M...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uwe maarufu au la, usijifanye una hela wakati huna! Utakuja umbuka msibani

    Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera! ***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
  14. babu M

    JamiiForums Tanzania Nigeria celebrity Bobrisky amefunguka kuhusu jinsia yake!!

  15. Chief Mtangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Comments za wanugu kwenye social media accounts za celebrity wao

    Wanugu hawataki kabisa kushughulisha akili zao hata kwenye mambo simple kabisa. Celebrity mnugu kaweka caption yake ambayo inahusu masuala nyeti yanayo gusa maisha ya wanugu nchini Marekani. . Comments za wanugu: 1. ,😍😍😍🤗😘😅 2. 😁😁😁😁😁😁 3.😗😗😗😗😗😗 4.🤗🤗🤗🤗🤗 5.🤩🤩🤩🤩 6.😉😉😉😉😉 7. 😉🤩🤗😗😅😘😙😍😍 Kuna mtu...
  17. Adamjuma94

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani aliimba hii Ngoma?

    Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

    Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata heshima tangu zamani. Wasanii na watu maarufu walitamani kuizungumza wakiwa na fikra kwamba Kiswahili...
  19. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rapper Rosa Ree atoa Wimbo mpya unaoitwa "Balenciaga

    Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
  20. stellasmith

    JamiiForums Tanzania Pic Of Your Favorite Celebrity

    Monalisa ni mmoja wa wahusika wenye vipaji na ninampenda Celeb24x7.com
Back
Top Bottom