Celebrity is a condition of fame and broad public recognition of an individual or group, or occasionally a character or animal, as a result of attention given them by mass media. A person may attain a celebrity status from having great wealth, their participation in sports or the entertainment industry, their position as a political figure, or even from their connection to another celebrity. 'Celebrity' usually implies a favorable public image, as opposed to the neutrals 'famous' or 'notable', or the negatives 'infamous' and 'notorious'.
Kudorora
Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity
Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu...
Wengi wetu tumeshuhudia jinsi baadhi ya celebrities hasa wasanii na wanamuziki walivyokuwa wakishiriki si tu kwa kuonyesha mapenzi yao ya kisiasa kwa upande flani, bali pia wakivuka mstari kudhalilisha na kukebehi wananchi walio upande wa upinzani.
Hata hivyo, kuna kundi la celebrities ambao...
Muimbaji wa Kenya Otile Brown anasema Lifestyle ya Mwanamke ina gharama kubwa sana baada ya kusuka nywele mara 3 kwa mwezi na msuko mmoja ni (5000 KES) sawa na Tsh Laki 3.
"Nataka niwape maua yenu wanawake maisha yenu ni gharama sana, Hii ni mara ya tatu nasuka na hata mwezi haujafika. Kila...
Maduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" ambayo itaanza kurushwa kupitia You Tube kuanzia tarehe 16 June 2025...
Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini.
Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
You’re not in chains.
You’re not behind bars.
But you’re not free either.
Your attention is bought and sold.
Your time is farmed.
Your life is quietly slipping into someone else’s highlight reel.
Here’s how entertainment, celebrity culture, and social media are the new plantation, and we’re...
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc
Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
Wakuu
Machawa wa Samia hawapoi
Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini.
Kupata taarifa na...
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya
Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi.
Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
Habarini,
Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na wanaofanana na hao.
Huenda alichofanya Niffer kukusanya michango ya maafa kariakoo kina nia njema 100%...
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama...
Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani
Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa
kufanyika tarehe 5 November 2024.
Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani
ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu.
Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi.
Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga...
1. Jokate Mwegelo - Washngton DC, Marekani mwaka 1987.
2. Haji Sunday Manara - Uholanzi, mwaka 1975.
3. Ruge Mutahaba ( R.I.P) Marekani, mwaka 1970.
4.........
5.........
Twende kazi
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
6. Young killer -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.