Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
1649254033821.jpeg

Russian oligarch Roman Abramovich is reportedly begging his rich friends including Hollywood director Brett Ratner for £765,000 ($980,000) loans to help him pay his staff after being sanctioned by London and Washington, US sources have claimed.

The Chelsea Football Club owner, who has been accused in Britain of being a close ally of Russian warmonger Putin, is apparently asking for huge loans from his celebrity friends to maintain his staff, who are rumoured to be costing him £600,000-a-week.

Page Six alleges that Rush Hour director Ratner is among those Abramovich has asked, as well as other contacts in Hollywood and Silicon Valley. The oligarch is also said to have approached the Rothschild family after his assets in Britain and the US were seized last month. No one is thought to have agreed to give him the money.

A source told the website: ‘Roman is asking some of his closest powerful friends to let him borrow $1million. He is saying he has never missed payroll for his staff, which is $750,000 a week, and with his assets frozen, he can’t pay his people.

‘He has reached out to Hollywood producer and director Brett Ratner and the Rothschild family, among many others, for money, but – while they are good friends with Roman – they have not agreed to give him money, because either they do not have that in liquid cash, or moreover it is not clear what are the repercussions under international law.’

Ratner declined to comment when approached by Page Six, and the Rothschilds could not be reached.

More: Ukraine war: Roman Abramovich 'begs celebrity friends for loans'
 
Kufilisika kunamnyemelea,bora ajitokeze amkane bwana Mavodka waziwazi,yaani amnange ile kinoma jamaa wanaweza wakamwachia hela zake.

Na hao jamaa wakimkopesha tu ile anaingia kucheki salio anakutana na kufuli,na wao wanaweza kufuatiliwa pia,ndio maana wanaogopa
 
Hizi nchi mbili Uingereza na Marekani naona mara nyingi zinatumia nguvu yao kiuchumi kuwaumiza wasio na hatia na bahati mbaya hakuna anayewalaumu.

Mfano, Marekani alivamia Iraq tukaambiwa kuna nyuklia, lakini hakuna chochote walichowahi kutuonesha mpaka leo, wakavamia tena Libya kwa kisingizio kile kile lakini hakuna walichotuonesha hata baada ya vita ile.

Nashangaa leo wanamuhukumu Abramovich kwasababu tu ana urafiki na Putin, kwao hili ni kosa kubwa wameamua kumuadhibu, naona dunia tunayoishi inaendeshwa na mataifa makubwa mawili yaliyojaa unafiki wa hali ya juu sana.

I wish hao wachina nao wawe na nguvu zaidi kiuchumi waje kuwalainisha hao wajuaji wawili.
 
Matajir wengi hasa wa Asia wataanza ogopa kuinvest hzo nchi coz ya sanctions au watakuwa wanatunza pesa kwenye bank za nyumbani.

Matajir wengi wamepata somo.

Hiyo sio haki ni udhulumaji na wizi mtu kapata tabu sana kuzipata hzo pesa.
 
Hili ni funzo kwa matajiri wanaojikita kuficha mali zao huko kwa mabeberu.
 
Baada ya vikwazo kuanza kutangazwa, oligarchs wengi walikimbilia Israel kwenda kutafuta nyumba za kupanga hasa wale wenye asili ya Kiyahudi ambao Israel kwao ni kama nyumbani kwa mujibu wa sheria.

Ni miongoni mwa matukio ya kustaajabisha sana kuona "wakimbizi" wakiwa na private jets na ma-briefcase yenye "ukwasi" wa kutisha, tofauti na wakimbizi wengine wengi tuliowazoea.
 
Kama wamekimbilia Israel huenda wasiguswe na vikwazo maana Israel ni mshirika wa mabeberu.
 
Matajir wengi hasa wa Asia wataanza ogopa kuinvest hzo nchi coz ya sanctions au watakuwa wanatunza pesa kwenye bank za nyumbani.

Matajir wengi wamepata somo.

Hiyo sio haki ni udhulumaji na wizi mtu kapata tabu sana kuzipata hzo pesa.
Pole naamini uchumi huujui
 
Back
Top Bottom