cctv

CCTV stands for Closed-Circuit Television. It is widely known as video surveillance.

Unlike regular television broadcasts that are sent out to the public, "closed-circuit" means the video feed is transmitted privately to a specific, limited number of monitors
  1. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hakuna polisi aliyefutwa kazi kwa kufuta picha za kamera, bali wote wamehamishwa?

    Kuna tetesi zimezagaa mkoani Kilimanjaro zikidai kuwa Jeshi la Polisi wilaya ya Mwanga limetoa taarifa isiyo sahihi kuhusu kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa barabarani waliohusishwa na tukio la rushwa nono iliyopelekea wao kufuta picha za kwenye kamera ya barabarani ya kurekodi matukio ya...
  2. JamiiForums Tanzania Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania MAFUNDI WA CCTV CAMERA-MWANZA NA MIKOANI-0746373222.

    Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK... Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi. Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA. Call/Whatsapp 0746373222. Instagram...
  4. JamiiForums Tanzania CCTV Camera installation

    habari zenu wana-jamvi, tunatoa huduma ya ufungaji wa cctv camera,electric fence,gate motor na video door bell iwe nyumbani, shuleni, ofisni hata kwenye eneo lako la kazi. Kwasasa mteja hatohusika na gharama za kutuita site kufanya survey (kwa wakazi wa Dar), tupo Kigamboni Dar es salaam kama...
  5. JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaonya ufungaji wa Kamera (CCTV) kwenye maeneo ya faragha

    YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
  7. JamiiForums Tanzania KERO Responded Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni. Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo nyeti sana usiri mkubwa sana. Nimeshangazwa kukuta kamera zimewekwa ndani chooni, eneo ambalo mkoaji...
  8. JamiiForums Tanzania I specialize in the Design and installation of Plumbing systems, Fire Protection systems, Kitchen Equipment layouts and so much more

    MEP Services: I specialize in the Design and installation of Plumbing systems, Fire Protection systems, Kitchen Equipment layouts, HVAC systems, and Fire protection Pumps for residential, commercial, and industrial buildings Plumbing: Including Cold water and Hot water systems design. Pipe...
  9. JamiiForums Tanzania Jipatie CCTV Camera Bora na za kisasa uweze kutizama eneo lako kila unapokwenda kwa gharama rafiki

    Kuna machaguo mbali mbali ya Cctv Camera mfano HIK VISION,Dahua, nk ila Leo Ninakuletea chaguo jipya sokoni na hii ni "Ezviz" Yes "Ezviz" Wametoa Cctv Camera zisizohitaji waya Wala vifaa vya ziada kama DVR/NVR ili ziweze kufanya kazi Bali kwenye hizi camera unahitaji tu Internet na Kila kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

    Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
  11. JamiiForums Tanzania CCTV zina faida gani ? Tukio linapotokea kuonesha vibaya

    Msaada wa CCTV mimi naona ni bure yani linapotokea tatizo uwezi kuona picha vizuri.
  12. JamiiForums Tanzania CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

    Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Kamera za CCTV Zinavyoimarisha Usalama Katika Sekta ya Kilimo

    Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu katika kulinda mali bali pia katika kuhakikisha usalama wa mimea, wanyama na wafanyakazi kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania CCTV Camera zafungwa Soko la Mchikichini Karume (Dar) kubaini wanaochoma moto masoko

    Kufuatia mfululizo wa matukio ya moto ambayo yaliyokuwa yakitokea kwa nyakati tofauti kwenye soko la Mchikichini eneo la Karume, Dar es Salaam kwa sasa soko hilo linadaiwa kuja na mikakati mipya kwa lengo la kuthibiti matukio hayo yasitokee na hata yakitokea kusiwepo na athari kubwa zaidi kama...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 NEC: CCTV zifungwe kuepusha wizi wa kura

    Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri ambapo hutokea endapo waangalizi wa vyama vingine wakiwa hawapo au wametengenezewa zengwe mfano kuambiwa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  17. JamiiForums Tanzania Tunakuletea Kamera kibunifu ya Balbu ya CCTV - ongeza Usalama Wako wa Nyumbani! 🏠💡📷

    Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako? Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Habari za wakati huu,leo nimewaletea bei ya seti upande wa CCTV camera kuanzia 4 mpaka 16. NB: Kila seti imebeba vifaa vyote vinavyohitajika kukamilisha mfumo wa CCTV ikiwemo na Monitor ndani yake bila kusahau access ya INTERNET kwa wale watakaohitaji. Bei zinazoonekana hapo chini ni pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

    Kwa Tsh 77,000 tu!! Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!! Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129 Offer hii ni kwa Dar pekee!! Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-...
  20. JamiiForums Tanzania Badala ya Makonda wa Kike, SERIKALI ingelazimisha "School bus" zifungwe CCTV cameras

    Nimesikia Dada Dorothy Gwajima katangaza "School buses" ziwe na Makonda wa kike Kwa kile anachohofia watoto wetu kufanyiwa michezo michafu, sio idea mbaya ila Mimi kama mdau ningeshauri yafungwe CCTV cameras ambazo Zina uwezo wa kurekodi matukio yote. Hawa Makonda wa kike tunawaaminije? Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…