cctv

CCTV stands for Closed-Circuit Television. It is widely known as video surveillance.

Unlike regular television broadcasts that are sent out to the public, "closed-circuit" means the video feed is transmitted privately to a specific, limited number of monitors
  1. C

    JamiiForums Tanzania Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
  2. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia simu yako kama CCTV camera

    Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works through your browser, which gives it the cross platform compatibility. Ili kuset simu yako iwe kama...
  3. gedigo

    JamiiForums Tanzania All types of CCTV installation with beam security

    We BASAP AFRICA COMPANY,office at kinondoni,morocco, near dawasco kinondoni office,with international proffessionals for all -needs of installation of cctv and beem securities. -all it prorojects you can think of and it solutions like computer programing and data. We have the high level of...
  4. THE SHADOW ONE

    JamiiForums Tanzania Karibu tukuhudumie kwa huduma ya nyumba yako (Wiring, kupaka rangi, kuweka CCTV Camera)

    Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems. Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika. Hutajutia huduma zetu popote tupo. Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
  5. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  6. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera

    Habari, Naomba kujua utaratibu wa kufunga CCTV Camera kwenye nyumba ya familia pamoja na gharama zake. Nawasilisha.
  7. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya leseni za Drones serikali igeukie CCTV Camera

    Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa. Baada ya kugundua chanzo kipya ambacho ni leseni za kurusha ndege zisizo na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe kuna umuhimu wa kufunga CCTV camera sakafuni zimulike juu, maana za juu wakati mwingine zinafeli kunasa!

    Nitawapa mfano; Maeneo mengi sana siku hizi yamefungwa kamera! Tembelea MALL zote hukosi idadi kubwa ya kamera! Lakini ajabu, Pamoja na wingi wa kamera lakini bado ripoti za wizi na udokozi zinaendelea pasipo watuhumiwa kupatikana! Mazingira ya matukio mengi yanayoripotiwa ukiangalia video...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suspects charged with posting CCTV footage of Uhuru, Raila freed on bail

    June 17, 2020 Nairobi, Kenya Ms Janet Magoma Ayonga, a CCTV controller contracted at the hotel and Mr Patrick Rading Ambogo, a security supervisor, who are suspected of leaking the video captured by the hotel’s CCTV cameras were Wednesday charged with unauthorised interception of computer data...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  13. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  14. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muumini anaswa na CCTV akiiba sadaka Kanisani

    Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kosa la kuiba kanisa Kanisani. Peter Muiya Irungu amenaswa na camera za siri zilizofungwa Kanisani hapo. Inadaiwa kuwa, Peter ni mmoja kati ya Waumini wazuri wa kanisa hilo na hajawahi kukosa ibada hata siku moja hivyo kitendo hicho kimewashangaza...
  15. Gwizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CCTV Footage of Embakassi East MP Babu Owino Shooting a DJ at a Night Club

  16. WKawishe

    JamiiForums Tanzania Cctv camera installation Arusha

    CCTV INSTALLATION We are dealing with; ✴CCTV Camera Installation and Repair ✴LAN Installation ✴Computer Service & Repair ✴Electrical Fence Installation Also we can connect CCTV camera directly to your mobile phone. ️ Contract us : 📶0716128815 (Call & WhatsApp 24/7) Location: Arusha
  17. CYTON TECH

    JamiiForums Tanzania Tunafunga CCTV Cameras (HD) kwa bei nafuu

    Tunafunga (HD) CCTV Camera kwa bei nafuu kulingana na mahitaji yako. Kuona eneo lako ukiwa mbali Kutoa Alarm Intruder motion detection via PIR and image verification Automatic Day/Night Mode with IR Filter Pia tunatoa Huduma za kiufundi kwa maswala yote ya ICT... Computer Motherboard Repair...
  18. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio CCTV Camera zinavyofanya kazi. Msitufanye mandondocha

    Hii ni salamu kwa Watakatifu wetu Vyombo vyenye Mamlaka, vinavyojua kazi zao vyema na Ambao hawayumbishwi na kelele zetu za Mitandao kuwafundisha kazi. Tafadhalini Angalieni namna CCTV za wenzetu waliopitwa na wakati zinavyofanya kazi. Likitokea Tukio lingine Mtafute namna nyingine ya...
Back
Top Bottom