cctv

CCTV stands for Closed-Circuit Television. It is widely known as video surveillance.

Unlike regular television broadcasts that are sent out to the public, "closed-circuit" means the video feed is transmitted privately to a specific, limited number of monitors
  1. A

    JamiiForums LGE2024 CCTV Camera kwenye chumba cha kupiga kura

    Moja moja kwa mada: Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao. Kwanini...
  2. F

    JamiiForums Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  3. Blender

    JamiiForums Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  4. G

    JamiiForums CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  5. Waufukweni

    JamiiForums CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

    Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC. Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya...
  6. C

    JamiiForums WAZO: Wamiliki wa mabasi fungeni kamera ulinzi (CCTV Camera) japo kwenye lango la kuingilia abiria

    Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi. Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
  7. Richard

    JamiiForums Kamera za CCTV kifaa muhimu kinosaidia kupata ushahidi. Watanzania wajizoeshe kukusanya ushahidi na kuuhifadhi kwa kutumia simu ya mkononi

    Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV. CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana cha ulinzi kwenye dunia ya leo. CCTV hutumika katika maeneo ya umma kwa minajili ya kubaini na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

    Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda. Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa...
  9. M

    JamiiForums Nataka kufunga CCTV camera ya mfumo camera16

    Habar wakuu, Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn. Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani...
  10. Willy NGOMA

    JamiiForums Used CCTV Cameras

    Hello Nahitaji camera used. Kuanzia walau 5MP. PTZ 4 chap chap
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Je, ni kweli hakuna polisi aliyefutwa kazi kwa kufuta picha za kamera, bali wote wamehamishwa?

    Kuna tetesi zimezagaa mkoani Kilimanjaro zikidai kuwa Jeshi la Polisi wilaya ya Mwanga limetoa taarifa isiyo sahihi kuhusu kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa barabarani waliohusishwa na tukio la rushwa nono iliyopelekea wao kufuta picha za kwenye kamera ya barabarani ya kurekodi matukio ya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
  13. Gordon Technology

    JamiiForums MAFUNDI WA CCTV CAMERA-MWANZA NA MIKOANI-0746373222.

    Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK... Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi. Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA. Call/Whatsapp 0746373222. Instagram...
  14. alpha walk

    JamiiForums CCTV Camera installation

    habari zenu wana-jamvi, tunatoa huduma ya ufungaji wa cctv camera,electric fence,gate motor na video door bell iwe nyumbani, shuleni, ofisni hata kwenye eneo lako la kazi. Kwasasa mteja hatohusika na gharama za kutuita site kufanya survey (kwa wakazi wa Dar), tupo Kigamboni Dar es salaam kama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaonya ufungaji wa Kamera (CCTV) kwenye maeneo ya faragha

    YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
  16. Tutu kalundji

    JamiiForums Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
  17. sitagliptin

    JamiiForums KERO Responded Naomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uondoe CCTV Camera zilizowekwa chooni

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni. Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo nyeti sana usiri mkubwa sana. Nimeshangazwa kukuta kamera zimewekwa ndani chooni, eneo ambalo mkoaji...
  18. Elon Mzebuluni

    JamiiForums I specialize in the Design and installation of Plumbing systems, Fire Protection systems, Kitchen Equipment layouts and so much more

    MEP Services: I specialize in the Design and installation of Plumbing systems, Fire Protection systems, Kitchen Equipment layouts, HVAC systems, and Fire protection Pumps for residential, commercial, and industrial buildings Plumbing: Including Cold water and Hot water systems design. Pipe...
  19. PrimeTech255

    JamiiForums Jipatie CCTV Camera Bora na za kisasa uweze kutizama eneo lako kila unapokwenda kwa gharama rafiki

    Kuna machaguo mbali mbali ya Cctv Camera mfano HIK VISION,Dahua, nk ila Leo Ninakuletea chaguo jipya sokoni na hii ni "Ezviz" Yes "Ezviz" Wametoa Cctv Camera zisizohitaji waya Wala vifaa vya ziada kama DVR/NVR ili ziweze kufanya kazi Bali kwenye hizi camera unahitaji tu Internet na Kila kitu...
  20. Sundii

    JamiiForums Tofauti ya DVR NA NVR katika ufungaji wa CCTV camera

    Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
Back
Top Bottom