cctv

CCTV stands for Closed-Circuit Television. It is widely known as video surveillance.

Unlike regular television broadcasts that are sent out to the public, "closed-circuit" means the video feed is transmitted privately to a specific, limited number of monitors
  1. Half american

    JamiiForums Tanzania Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

    Ikitokea katika chumba/Nyumba yako zikafungwa CCTV Camera, ni mambo gani utakayopunguza kuyafanya?
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCTV Camera Installation

    Tuna toa huduma za kufunga camera popote Tanzania na Zanzibar. Ofisini, Majumbani, Viwandani, Mashuleni, nk. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0773373839 Au fika ofisini kwetu Buza kanisani, Dar es salaam Bububu, Zanzibar
  4. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania TAA YA SOLAR YENYE CCTV CAMERA(SOLAR STREET LIGHT WITH CCTV)-0746373222.

    Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani. Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera. Taa hii inafanya KAZI mbili,kutoa mwanga na pia kurekodi video na sauti. CCTV camera uliopo ktk taa hii inazunguka nyuzi360...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuachia video za CCTV baada ya jeshi la polisi kukana kuwa hawahusiki na tukio lolote la utekaji linapotokea

    Mara kadhaa linapotokea tukio la utekaji bila ya uwepo wa ushahidi wa Video Polisi wamekuwa wakisema wahusika ni watu wasiojulikana mfano Tukio la mzee Kibao, Abdul Nondo na wengine wahusika hawajajulikana mpaka sasa. Matukio kama hayo yakitokea na muda mfupi video za CCTV zikiachiwa utasikia...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Fungeni CCTV Camera kwenye maeneo yenu ili kujilinda na kulinda wengine

    Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi? Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari. Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu. Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jamaa adata na mwanamke aliyekuwa dukani, aingia na kuanza kupiga punyeto, anaswa na CCTV akijidharirisha

    Wakuu Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani hapo. Jamaa huyo alinaswa akipiga Punyeto, kitendo cha kujiridhisha waziwazi, jambo lililowafanya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  9. A

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCTV Camera kwenye chumba cha kupiga kura

    Moja moja kwa mada: Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao. Kwanini...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras

    Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it. So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani. Your contributions would be...
  11. Blender

    JamiiForums Tanzania Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  12. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

    Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC. Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya...
  14. Chivundu

    JamiiForums Tanzania WAZO: Wamiliki wa mabasi fungeni kamera ulinzi (CCTV Camera) japo kwenye lango la kuingilia abiria

    Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi. Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Kamera za CCTV kifaa muhimu kinosaidia kupata ushahidi. Watanzania wajizoeshe kukusanya ushahidi na kuuhifadhi kwa kutumia simu ya mkononi

    Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV. CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana cha ulinzi kwenye dunia ya leo. CCTV hutumika katika maeneo ya umma kwa minajili ya kubaini na...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

    Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda. Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufunga CCTV camera ya mfumo camera16

    Habar wakuu, Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn. Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Used CCTV Cameras

    Hello Nahitaji camera used. Kuanzia walau 5MP. PTZ 4 chap chap
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hakuna polisi aliyefutwa kazi kwa kufuta picha za kamera, bali wote wamehamishwa?

    Kuna tetesi zimezagaa mkoani Kilimanjaro zikidai kuwa Jeshi la Polisi wilaya ya Mwanga limetoa taarifa isiyo sahihi kuhusu kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa barabarani waliohusishwa na tukio la rushwa nono iliyopelekea wao kufuta picha za kwenye kamera ya barabarani ya kurekodi matukio ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
Back
Top Bottom