Kumbukizi: Marehemu Horace Kolimba aliitwa ajieleze kwa kusema CCM imekosa dira, apumzike kwa amani

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,996
20,647
Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira

Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze

Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
 
Kinana na Makamba hawana effect kwenye kugombea Urais moja kwa moja ila bado Wana ushawishi...
Ila Bernad Member ndio wanamuhofia!
Wanafahamu na anafahamu bila nguvu hatoboi kwenye kula za maoni ndani ya CCM.
Kizuri nae ni shushushu mzoefu. Nafikiri kazi ipo.
Hawatom-kolimba bali wanaweza kutingisha uanachama wake
 
Chimwaga Idodomyaaa

Acha kabisa, ukiitwa jiandae ubatizo wa moto upo..... Mzee makamba
 
Membe kwa sasa anakubalika ndani ya ccm na nje ya ccm
Kinana na Makamba hawana effect kwenye kugombea Urais moja kwa moja ila bado Wana ushawishi...
Ila Bernad Member ndio wanamuhofia!
Wanafahamu na anafahamu bila nguvu hatoboi kwenye kula za maoni ndani ya CCM.
Kizuri nae ni shushushu mzoefu. Nafikiri kazi ipo.
Hawatom-kolimba bali wanaweza kutingisha uanachama wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom