• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mkuu wa Wilaya ya Tabora ndugu Erick Komanya Kitwala hana maelewano na mtumishi yeyote ndani ya wilaya anayoiongoza

M

MwanaMagongo

Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
61
Points
125
M

MwanaMagongo

Member
Joined Aug 15, 2011
61 125
Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo.
1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida.

2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa akiwaheshimu watumishi wa Umma.

3. Mpaka ninapoandika ameshashindana na madereva sio chini ya 15 wote wanawafukuza kwa kejeli na kuwadhalilisha.wakilolo kafunikwa lakini mamlaka haziambiwi kuhusu ujinga wa huyu DC.

Ninapoandika alifikia hatua akakosa dereva baada ya katibu tawala kumwambia madereva wote wanamkataa akawa anaomba gari za idara ya maji,mara Tanroad kwa kifupi mahusiano kwake ni shida (sijui aliupataje u DC).

4. Anashambulia watumishi bila kujali mazingira(Mkurugenzi anatukanwa kama mtoto)wakuu wa Idara wanatukana mbele ya subordinate wao matusi ya kudhalilisha huku akiwasweka ndani kutumia yale masaa 48 anayotembea nayo mfukoni.

5. Alishagombana mara nyingi sana na wasaidizi wake Ofisi ya mkuu wa Wilaya.anamlazimisha muhasibu wa ofisi yake afuate maelekezo yake kutoa fedha ,muhasibu kakataa akawashiwa moto na kutishiwa kufukuzwa kazi.

Muhasibu akaitiwa polisi akapumzishwa masaa 24. Mzee Mkuchika wewe ndie mkuu wa utawala bora,huku Tabora huna Kiongozi bali una janga.

DC anapita kusalimia ofisi ya Muhandisi,anakamata wahandisi wote bila kosa anapakia kwenye gari yake kama mbuzi anafika mbele anawaambia tokeni kwenye gari yangu takataka ninyi,halafu wanaambiwa warudi ofisini kwa mguu,hivi haya ndiyo maelekezo ya serikali ya awamu ya tano? Kunyanyasa watumishi kuwadhalilisha hata wakakosa nata heshma wanayostahili kama binaadamu?

Watendaji wa kata na katibu tarafa ndio selo zimeshawazoea mpaka wamekuwa sugu. Maana yeye haelekezi wala kusikiliza maelekezo ya wataalamu kwakwe kila mtaalamu ni mpumbavu,mwizi na fisadi.

Anatumia kichaka cha kasi ya awamu ya tano kuvunja taratibu za utumishi.

Ni miezi michache aliitisha harambee ya ujenzi wa madarasa ,nakumbuka zilichangwa karibu mil 800 na aliungwa mkono na Mh.Mkuu wa Mkoa amabe watumishi wa Tabora yote wanamuheshimu kwa jinsi anavyoheshimu taratibu, lakini baada ya kuchangisha hakuna anaejua matumizi yake.

Yeye ndiye mnunuzi wa cement, mchanga ,mlipaji wa mafundi na yeye ndiye muhasibu.

Yaani hakuna mtu wala mamlaka yoyote inayoweza kumuhoji.

Hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora hana mbavu za kumkabili huyu DC, mwenyewe anawaambia watu kuwa Dr. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM ni jamaa yake na wamefanya jazi wote kwenye tume ya kuhakiki mali za CCM hivyo ukithubutu anakumaliza.

Madiwani wa CCM wakimuona wanajificha maana anawatishia kuwanyang'anya kadi kwakuwa yeye ni mjumbe wa NEC,na wote pamoja na jeuri zao wakitukanwa wanavumilia, nani yupo tayari kunywang'anywa kadi aukose udiwani?

Alilazisha kufungua akaunti,Mkurugenzi akamkatalia,akamwambia Account za halmashauri zina ukomo,na zote zinaudhibiti yeye hataki kupokelea michango kwenye hizo Account,anataka afungue zakwake zitakazo dhibitiwa na yeye kama embargo anatafuna michango ya harambee.

Ili kutakatisha, ameanzisha kiwanda cha tofali pale hospital ya Maili tano Ipuli,pale kafyatua tofali zaidi ya 30000 na anazigawa shuleni akiwa yeye mwenyewe, anampa pendae na yeye ndiye anatunza kumbukumbu, hakuna "Check and Balance" anaenda madukani kuwalazimisha wafanya biashara wampatie cement usipotoa utakiona cha mtema kuni, wakito cement yeye ana debit kwenye harambee na zinasomeka zimetokana na haramee.

Watu wa usalama hataki kuwasikia na mara kadhaa amewatimua kwenye vikao vyake akadai hajawaalika(hataki shushu kwenye vikao vyake) lakini hakuna hatua yoyote anayochukuliwa.

Wajuvi wa Mambo wanadai hicho kiburi anakitoa kwa wakubwa,kwamba Baba yake Mzee Kitwala Komanya aliwahi kuwa boss kwenye genery ya Pamba,kwamba wakati baba yake ni Boss Magufuli alikuwa Mkemia kwenye kiwanda hicho,na kuwa baba yake ndiye aliempigia mpango wa kuajiriwa,hizo ni taarifa zisizo rasmi toka kila.kijiwe cha kahawa,lakini hata kama uanafahamiana na wakubwa kwanini uwadhalilishe waliokuteua kwa kufanya vitu vya hovyo?

Waziri Mkuu, Waziri Jafu, Mzee Mkuchika nyote kuna mahala mnahusika kusimamia nidhamu za hawa wakuu wa wilaya,kila mmoja anaweza kuunda tume ya siri au ya wazi kuja kumchunguza huyu limbukeni.

Mtabaini zaidi ya haya yaliyoandikwa,

Ninyi mkifika zingumzeni chunguzeni pale manispaa jinsi palivyochafuka.

Zungumzeni na wakuu wa Idara wakiogopa kusema ,zungumzeni na Madiwani,Wakiogopa kusema waulizeni Watendaji wa kata na makatibu tawala.

Nendeni ofisini kwake waulizeni wasaidizi wake,waulizeni watumishi wa Idara ya fedha,mipango miji, waulizeni Idara ya Elimu,maafisa Elimu kata,waulize idara ya Ardhi.

Kijana wenu Cheo kimezidi ukubwa,hakuna anachofanya zaidi ya kutukana wakubwa.

Wananchi wanadhulumiwa akihongwa wakifika kwake wanatupwa ndani,mpaka polisi wamemchoka maana hajui kusikiliza anajua kufoka na kutukana hata kama unata kumshauri mabo positive,utashauri ukiwa umeshatukanwa.

Mbona kuna vijana wengi smart wenye malezi? Kwanini msiteue hao?

Naomba kila mwana Jamii forums asaidie ku share unumbe huu kwenye social media mbalimbali mpaka ujumbe uwafikie wakubwa waliomteua.

======

Haya ndo majibu kuhusu tuhuma hizi. Zaidi soma

https://www.jamiiforums.com/threads...c-wa-tabora-mjini-mh-komanya-kitwala.1666948/
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
7,590
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
7,590 2,000
Huyu ndio Chaguo la Magu lia , garagara, zila lakini huyo ndio the best from the house.

Hahahaaaa Mtanyoka. Mlidhani atanyoka Mbowe??
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
28,705
Points
2,000
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
28,705 2,000
Hawawezi kumfanya lolote, huyo na Bashe hawaguswi, muwe wavumilivu tu mpaka muda wao uishe
 
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Messages
584
Points
1,000
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2019
584 1,000
Ila jamaa kweli ahaogopeka maana hata muandishi mwenyewe kaandika kwa kuogopa zaidi.
Ila sio mbaya viongozi kama hao ndio wanapendwa kwenye awamu hii.
 
Ghiti Milimo

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,806
Points
2,000
Ghiti Milimo

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,806 2,000
Story ndeeeeefu jina la dc na wilaya halionekani ..poor!
Alaaaa! Kumbe halijaandikwa jina! Mimi nimeshindwa kusoma story yote. Nikajua, labda hilo jina limeandikwa huko mbele!
 
B

Bombabomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2017
Messages
945
Points
1,000
B

Bombabomba

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2017
945 1,000
Hajawahi kuonana na mtumishi mwenye hasira kama aliyekuwa RAS Shinyanga/SIMIYU aliyezipiga na RC? Huyu unajipanga mapema siku akiingia 18 zako Hasa ofsn kwako/kwake unamfungia mlango then mnapigana mwishowe wote mnaripoti Kituo cha Polisi. Hakuna namna nyingine hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
7,271
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
7,271 2,000
Yaani Story ndeefu alafu hata jina la DC umeshindwa kumtaja!
Wala hatujui ni DC wa wilaya ipi!

Nyie wasomi wa Tz yangu bhaana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,781
Points
2,000
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,781 2,000
Jina umeshindwa kumtaja, Wilaya yake uneshindwa kuitaja.
Hivyo sana, sasa wewe na huyo DC mna tofauti gani,?
 
K

Kasegela

Member
Joined
Mar 24, 2019
Messages
92
Points
150
K

Kasegela

Member
Joined Mar 24, 2019
92 150
DC wa Tabora Manispaa aitwae ERIC KOMANYA KITWALA anapenda ugomvi, masimango, kujimwambafai na ktutukana watumishi kuanzia Mkurugenzi hadi mfagiaji.

Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo.

1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi, madiwani, wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida.

2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliyekuwa akiwaheshimu watumishi wa Umma.

3. Mpaka ninapoandika ameshashindana na madereva sio chini ya 15 wote wanawafukuza kwa kejeli na kuwadhalilisha. Wakilolo kafunikwa lakini mamlaka haziambiwi kuhusu ujinga wa huyu DC.

Ninapoandika alifikia hatua akakosa dereva baada ya katibu tawala kumwambia madereva wote wanamkataa akawa anaomba gari za idara ya maji, mara Tanroad kwa kifupi mahusiano kwake ni shida (sijui aliupataje uDC).

4. Anashambulia watumishi bila kujali mazingira (Mkurugenzi anatukanwa kama mtoto) wakuu wa Idara wanatukana mbele ya subordinate wao matusi ya kudhalilisha huku akiwasweka ndani kutumia yale masaa 48 anayotembea nayo mfukoni.

5. Alishagombana mara nyingi sana na wasaidizi wake Ofisi ya mkuu wa Wilaya. Anamlazimisha mhasibu wa ofisi yake afuate maelekezo yake kutoa fedha, mhasibu kakataa akawashiwa moto na kutishiwa kufukuzwa kazi.

Muhasibu akaitiwa polisi akapumzishwa masaa 24. Mzee Mkuchika wewe ndie mkuu wa utawala bora, huku Tabora huna Kiongozi bali una janga.

DC anapita kusalimia ofisi ya Muhandisi, anakamata wahandisi wote bila kosa anapakia kwenye gari yake kama mbuzi anafika mbele anawaambia tokeni kwenye gari yangu takataka ninyi, halafu wanaambiwa warudi ofisini kwa mguu, hivi haya ndiyo maelekezo ya serikali ya awamu ya tano? Kunyanyasa watumishi kuwadhalilisha hata wakakosa hata heshima wanayostahili kama binadamu?

Watendaji wa kata na katibu tarafa ndio selo zimeshawazoea mpaka wamekuwa sugu. Maana yeye haelekezi wala kusikiliza maelekezo ya wataalamu kwake kila mtaalamu ni mpumbavu, mwizi na fisadi.

Anatumia kichaka cha kasi ya awamu ya tano kuvunja taratibu za utumishi.

Ni miezi michache aliitisha harambee ya ujenzi wa madarasa, nakumbuka zilichangwa karibu mil 800 na aliungwa mkono na Mh. Mkuu wa Mkoa ambaye watumishi wa Tabora yote wanamuheshimu kwa jinsi anavyoheshimu taratibu, lakini baada ya kuchangisha hakuna anaejua matumizi yake.

Yeye ndiye mnunuzi wa cement, mchanga, mlipaji wa mafundi na yeye ndiye mhasibu.

Yaani hakuna mtu wala mamlaka yoyote inayoweza kumuhoji.

Hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora hana mbavu za kumkabili huyu DC, mwenyewe anawaambia watu kuwa Dr. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM ni jamaa yake na wamefanya jazi wote kwenye tume ya kuhakiki mali za CCM hivyo ukithubutu anakumaliza.

Madiwani wa CCM wakimuona wanajificha maana anawatishia kuwanyang'anya kadi kwakuwa yeye ni mjumbe wa NEC, na wote pamoja na jeuri zao wakitukanwa wanavumilia, nani yupo tayari kunywang'anywa kadi aukose udiwani?

Alilazisha kufungua akaunti,Mkurugenzi akamkatalia, akamwambia Account za halmashauri zina ukomo, na zote zinaudhibiti yeye hataki kupokelea michango kwenye hizo Account, anataka afungue za kwake zitakazodhibitiwa na yeye kama embargo anatafuna michango ya harambee.

Ili kutakatisha, ameanzisha kiwanda cha tofali pale hospital ya Maili tano Ipuli,pale kafyatua tofali zaidi ya 30000 na anazigawa shuleni akiwa yeye mwenyewe, anampa pendae na yeye ndiye anatunza kumbukumbu, hakuna "Check and Balance" anaenda madukani kuwalazimisha wafanya biashara wampatie cement usipotoa utakiona cha mtema kuni, wakito cement yeye ana debit kwenye harambee na zinasomeka zimetokana na haramee.

Watu wa usalama hataki kuwasikia na mara kadhaa amewatimua kwenye vikao vyake akadai hajawaalika (hataki shushu kwenye vikao vyake) lakini hakuna hatua yoyote anayochukuliwa.

Wajuvi wa Mambo wanadai hicho kiburi anakitoa kwa wakubwa, kwamba Baba yake Mzee Kitwala Komanya aliwahi kuwa boss kwenye genery ya Pamba, kwamba wakati baba yake ni Boss Magufuli alikuwa Mkemia kwenye kiwanda hicho, na kuwa baba yake ndiye aliempigia mpango wa kuajiriwa,hizo ni taarifa zisizo rasmi toka kila. Kijiwe cha kahawa, lakini hata kama uanafahamiana na wakubwa kwanini uwadhalilishe waliokuteua kwa kufanya vitu vya hovyo?

Waziri Mkuu, Waziri Jafu, Mzee Mkuchika nyote kuna mahala mnahusika kusimamia nidhamu za hawa wakuu wa wilaya, kila mmoja anaweza kuunda tume ya siri au ya wazi kuja kumchunguza huyu limbukeni.

Mtabaini zaidi ya haya yaliyoandikwa,

Ninyi mkifika zingumzeni chunguzeni pale manispaa jinsi palivyochafuka.

Zungumzeni na wakuu wa Idara wakiogopa kusema, zungumzeni na Madiwani,Wakiogopa kusema waulizeni Watendaji wa kata na makatibu tawala.

Nendeni ofisini kwake waulizeni wasaidizi wake,waulizeni watumishi wa Idara ya fedha,mipango miji, waulizeni Idara ya Elimu,maafisa Elimu kata, waulize idara ya Ardhi.

Kijana wenu Cheo kimezidi ukubwa,hakuna anachofanya zaidi ya kutukana wakubwa.

Wananchi wanadhulumiwa akihongwa wakifika kwake wanatupwa ndani, mpaka polisi wamemchoka maana hajui kusikiliza anajua kufoka na kutukana hata kama unata kumshauri mambo positive, utashauri ukiwa umeshatukanwa.

Mbona kuna vijana wengi smart wenye malezi? Kwanini msiteue hao?

Naomba kila mwana JamiiForums asaidie ku share unumbe huu kwenye social media mbalimbali mpaka ujumbe uwafikie wakubwa waliomteua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,403,948
Members 531,444
Posts 34,440,487
Top