ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jumuiya za CCM zimekubuhu kwa unyang'au na Ufisadi? Kila ripoti ya CAG ni lazima watajwe wao

    Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara. Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere. Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara afikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM mkoa wa Mara

    Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mwita Waitara amefika mbele ya kamati ya Maadili ya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Mara Samweli Kiboye kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Zikiwemo za...
  3. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

    Nchi hii ipo siku viongozi wa dini nyie wasaka sadaka mtakuja kujuta, hivi kweli mmeshindwa kumkemea huyu kijana kwa tabia zake za kudhalilisha utu wa watu wengine na kumuacha tu atukane? Hebu fikirieni angekuwa ni mpinzani ndio kayatamka hayo kwa mh. Magufuli si angekuwa anatafutwa na magari...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshitushwa sana na kauli ya CCM ikionyesha kuwa South Africa au Namibia wasingekuwa huru hadi leo, tungeanzisha uhusiano wa kibalozi na Makaburu!

    Kuna msemo kwamba mtu anaweza kutenda au kufanya kitu ambacho kitamfanya hadi mtu aliyekufa na kuzikwa kaburini ageuke. Ndivyo nilivyohisi Nyerere akifanya kufuatia kauli ya Kanali Ngemela Lubinga juu ya msimamo wa sasa wa CCM katika suala zima la uchumi wa kidiplomasia. Akihojiwa na mwandishi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Lowassa amerudi CCM kwa shinikizo la familia na Chadema kutotendea vyema

    Ndugu zangu, Karma inafanya yale unayomfanyia mwenzio, taabu wanazopata Chadema huenda ni malipo ya mabaya waliyofanyia waliowainua. ======== Mwenyekiti wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa mtazamo wake kuhusu uamuzi wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama Cha...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za viongozi wa CCM hazijengi umoja na mshikamano wa wananchi

    Ccm hii ya sasa ni sawa na Chama cha National party (NP) cha makaburu wa Afrika kusini chini ya kina P W Botha, John Vorster na wengine hawa waliamini watu weusi sio binadamu na hapaswi kuwa na sauti wala kuheshimika, waliamini mawazo ya mtu mweusi yanapaswa kupuuzwa na mtu mweusi anapaswa...
  7. chuki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

    Katika hali ya kushangaza Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza ameonekana Bunda Mjini akigawa pesa hadharani. Huku akiwa na mabaunsa, wapambe na wanakwaya wakimsindikiza Mwanza Huduma amepita Vijiwe vya Kahawa na Maegesho ya Magari na kugawa kati ya shilingi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kuwaumiza watu! Mtangulizeni Dr. Slaa katika vita ya kuiangamiza CHADEMA

    Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

    Tumeona kwa macho Mh Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm akimjulia hali Mzee Mangula ambaye alilazwa ICU baada ya kuanguka ghafla kwenye vikao vya ccm , na baadaye kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mtukufu Mambosasa akajitokeza kuitangazia dunia kwamba Mzee Mangula amelishwa sumu Hoja yangu...
  10. meddie

    JamiiForums Tanzania Pamoja na baya haya, bado watu wanasema CCM Oyee!

    CCM OYEE! 1.Ajira kwa vijana hakuna...CCM OYEE 2. Wafanyakazi hakuna kuongeza mishahara...CCM OYEE 3. Wakulima wa korosho hawalipwa ...CCM OYEE 4. Watu mtaani ni kuombana ombana pesa tu ...CCM OYEE 5. Baadhi ya watu ni miungu watu...CCM OYEE 6. Watu kubomolewa nyumba na kufa kwa presha...CCM...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania CCM Mwisho wake kuwepo kama chama tawala ni 2020

    Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ubaya na hatari ya kauli ya Polepole haiko sana katika kuwaita wpinzani Corona, bali ni iwapo Corona itakuwa janga katika nchi yetu

    Kauli ya Polepole kuwaita wapinzani Corona ni kauli ya hovyo na ambayo haikupaswa kutolewa hadharani na kiongozi wa ngazi aliyonayo hasa katika kipindi hiki ambapo duniani inapambana na ugonjwa huu. Wakati watu wengi wakiguswa na kauli ya kuwafananisha wapinzani na corona,mimi naona hatari...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

    Ndugu zangu, Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM. ''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Membe kufukuzwa uanachama wa CCM, je madai yake kuwa Katiba ya chama chake ilivunjwa ni ya kweli?

    Tumemsikia wenyewe aliyekuwa mwanachama wa CCM, Bernard Membe akidai kuwa katika kufukuzwa kwake CCM, Katiba ya chama chake haikuzingatiwa Kwa maelezo yake, kikao pekee chenye uwezo wa kumfukuza mwanachama yeyote wa CCM, ni Halmashauri Kuu ya CCM, jambo ambalo haliikufanyika, badala yake ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

    Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli. Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao. Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wazo nzuri kuchangisha Tsh 350m kuwaokoa na kifungo viongozi CHADEMA ilikuwa pamoja na Mashinji. Itakuwa uungwana zaidi Tsh 30M kuirudisha CCM

    CHADEMA mlionesha uugwana mkubwa sana kwa kutuchangisha Tsh 350m kwa wahukumiwa wote hata aliyekuwa katibu Mkuu wenu aliyewakimbia. Hii iliwajengea heshima kubwaa kwa kuonesha kuwa mlithamini mchango wake na isitoshe kesi aliyohukumiwa ilitokana na kuwa kiongozi wa CHADEMA kipindi hicho...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  18. Nemesis

    JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

    WASIFU WA AKWILINA AKWILINI Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima. Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM imemlipia faini ya Tsh. Milioni 30 mwanachama wake Dkt. Vincent Mashinji. Atoka gerezani

    Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam kimemlipia faini ya Shilingi Milioni 30 mwanachama mpya wa chama hicho Vincent Mashinji aliyekutwa na hatia kwenye makosa kadhaa kwenye Hukumu iliyotolewa jana ya kesi iliyokuwa ikimkabili pamoja na viongozi wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe katika...
Back
Top Bottom