Pamoja na baya haya, bado watu wanasema CCM Oyee!

Pamoja na baya haya, bado watu wanasema CCM Oyee!

meddie

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
434
Reaction score
125
CCM OYEE!
1.Ajira kwa vijana hakuna...CCM OYEE
2. Wafanyakazi hakuna kuongeza mishahara...CCM OYEE
3. Wakulima wa korosho hawalipwa ...CCM OYEE
4. Watu mtaani ni kuombana ombana pesa tu ...CCM OYEE
5. Baadhi ya watu ni miungu watu...CCM OYEE
6. Watu kubomolewa nyumba na kufa kwa presha...CCM OYEE
7.
8.
9.
 
Pole pole kutumia magari ya ikulu kufanya shughuli za kichama CCM OYEEE

Mimi sijaleta tetemeko wakat naomba kura sikusema ntaleta tetemeko CCM HOYEE
 
Waliosoma Kwa bodi ya mikopo vyuo vikuu nitakata 15% badaya ya 8%! Ccm oyeee, Kikokotoo kinakuja kwa wastaafu - Ccm Oyeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda vs dona country!
millardayo_B-BxCnsgqyW.jpeg
millardayo_B-B6p_wglHK.jpeg
_20200322_141105.JPG
 
Back
Top Bottom