Hizi kauli za viongozi wa CCM hazijengi umoja na mshikamano wa wananchi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272


Ccm hii ya sasa ni sawa na Chama cha National party (NP) cha makaburu wa Afrika kusini chini ya kina P W Botha, John Vorster na wengine hawa waliamini watu weusi sio binadamu na hapaswi kuwa na sauti wala kuheshimika, waliamini mawazo ya mtu mweusi yanapaswa kupuuzwa na mtu mweusi anapaswa kukandamizwa na kuuwawa...

Mjinga huyu anatoa kauli akifikiri upinzani unapaswa kufanya kazi zake kwa hisani ya ccm au kazi ya upinzani ni kusifia na kuimba mapambio kwa ccm..... karne hii huyu kijana anajifanya msomi hajui kwamba watu wanapaswa kushindanisha mawazo na wazo zuri linashinda...

kwanini vyombo vya dola vinalea ccm wakiwa wanatoa kauli hatarishi na za kichochezi kama hizi? Mauaji ya kimbari yalisababishwa na kauli za kihuni kama hizi.
John Heche.
 
Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu
 
Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu
Wapinzani wakiitwa majina yote hayo wanatakiwa kunyamaza kimya wakifungua mdomo wanaanzisha vurugu.
 
ccm ni genge lililoshindwa kuleta maoinduzi yoyote nchini.. Zaidi ya yote hilo genge limesababisha kuvunjika kwa undugu na umoja wa kitaifa!
 


Ccm hii ya sasa ni sawa na Chama cha National party (NP) cha makaburu wa Afrika kusini chini ya kina P W Botha, John Vorster na wengine hawa waliamini watu weusi sio binadamu na hapaswi kuwa na sauti wala kuheshimika, waliamini mawazo ya mtu mweusi yanapaswa kupuuzwa na mtu mweusi anapaswa kukandamizwa na kuuwawa... mjinga huyu anatoa kauli akifikiri upinzani unapaswa kufanya kazi zake kwa hisani ya ccm au kazi ya upinzani ni kusifia na kuimba mapambio kwa ccm..... karne hii huyu kijana anajifanya msomi hajui kwamba watu wanapaswa kushindanisha mawazo na wazo zuri linashinda..... kwanini vyombo vya dola vinalea ccm wakiwa wanatoa kauli hatarishi na za kichochezi kama hizi? Mauaji ya kimbari yalisababishwa na kauli za kihuni kama hizi.
John Heche.

Mkuu, 'Sky',

Huoni anajenga CV yake?

Wewe msome tu lugha yake ya kimwili utaelewa ninachosema.

Hawa ndio viongozi walioko huko CCM sasa hivi.

Halafu, angalia umati wa wasilikilzaji wake, wale watoto, ni chipukizi, au sio? Hawa ndio wanaotengenezwakuwa sumu ili kesho itumike?
 
Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu
kupiga kula! (kura)
 
Ndiyo maana tangu 2015 niliamua kuitupa kadi ya CCM chooni
Haikutosha mkuu 'Bishweko'.

Na haitatosha kwako
Wapinzani ni mashetani
Wapinzani ni wasaliti
Wapinzani ni Corona
Wapinzani ni maadui wa Taifa
Wapinzani ni wauwawe..
Hizi ni kauli za viongozi wa ccm awamu hii alafu eti nipange mstari kupiga kula ...mfyuu
Kwa wewe kufanya uamzi huo na kuachia hapo.

Kama kuna mipango mingine zaidi ya hapo, nitakubaliana na wewe.
 
downloadfile.jpg

Fatou Bensouda anawavutia pumzi tu ila iko siku
 
Back
Top Bottom