ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wazo Huru: CCM na Serikali yako mnakwama wapi?

    Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili. Hoja yangu ni fupi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

    Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCCM waanza kuitikia wito wa kujifukiza

    Pichani ni Mbunge wa ccm kutoka Babati akijifukiza Nyungu ili kupambana na virusi vya Corona, katika kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Taifa wa ccm aliyewataka wananchi kufanya hivyo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnafeli sana kwa Mbowe?

    Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020 Wabunge wa CCM mara nyingi wamekuwa na udhaifu wa kutegeka kirahisi na mitego ya Mbowe na hili halina afya kwa bunge, chama wala...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM kufyeka wanaotumia Corona kusaka Ubunge

    CCM imesema itawafyekelea mbali Wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka Ubunge. CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya Barakoa, Sabuni na Vitakasa mikono wana nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi. Source: Rai
  6. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Ukimya huu wa CCM juu ya COVID19 unamaanisha nini?.

    Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa. Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga...
  7. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana

    Wakili wa Kijitegemea, Alberti Msando ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha ili kujikinga na maambukizi ya Covid-19 kutokana na kazi yao kuwa na mwingiliano wa watu. Akikabidhi msaada huo leo kwenye Ofisi za Chama cha Waandishi wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi haina ushawishi kwa kizazi kipya, bado naamini CCM na CHADEMA vitaendelea kuwa vyama pendwa hapa nchini.

    Niwe tu mkweli kwamba naifahamu NCCR mageuzi tokea ikiwa katika harakati za kupigania mfumo wa vyama vingi. Kiukweli Nccr kimsingi siyo chama cha siasa bali ni taasisi ya harakati zilizojikita kwenye siasa ndio maana " Wanasiasa" huwa hawajiungi nacho na ikitokea mwanasiasa kaingia huko basi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Baada ya kukaa Karantini kwa siku 28 nimepona kabisa Corona na nitagombea ubunge kupitia CCM mwaka huu

    Mwanamuziki namba 1 wa kizazi kipya MwanaFA ametoka hadharani na kusema ni kweli aliumwa Corona na kwamba amepona kabisa. Anasema sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kupitia CCM katika jimbo ambalo atalitangaza wakati chama kitakaporuhusu wagombea kutangaza nia zao...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa Wilaya ya Mpwapwa (CCM ) fanyeni kazi zenu za Kikamati ya siasa

    Hivi ni kamati hii ya siasa ya wilaya ya Mpwapwa (CCM )au ni ya wakati wa uchaguzi uliopita ndiyo iliyofanya Madudu? Hebu kwa weledi kabisa niambieni! Imekuwaje jimbo la uchaguzi la Mpwapwa lina madiwani hawazidi wanne? Kwa weledi kabisa hebu kamati ya siasa niambieni kwa nini halmashauri ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wabunge wa Chadema waliohamia CCM ni wale " laini laini" ambao hawajawahi kukaa jela au kulala polisi?

    Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa. Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa. Wengine ......Ole...
  12. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

    Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus(covid-19) 🦠 Hivyo ccm lazima ipoteze uchaguzi mkuu ujao, hata kama wakiwapa...
  13. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Ipo Ziku Yaaja Ccm Mtakuja Kuwaomba Msamaha Watanzania Huku Mkitembelea Magoti Na Kulia Machozi Ya Damu.

    Kwahaya yanayo endelea nchini ,ipo siku ccm watakuja kujuta na kuomba msamaha hadharani wakitembelea magoti na kutoa machozi ya damu kwa walichowafanyia watanzania, mwenye masikio na asikie,mwenye macho na atazame siku yaaja haina tarehe wala mwaka wala saa, huhitaji kuwa na digrii kuelewa...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask). Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa” Aidha, ameagiza kuwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wabunge walio wengi wa CCM wanaamini majimbo ni mali yao binafsi

    Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu. Unaweza kukuta mwanaCCM mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui...
  17. G

    JamiiForums Tanzania CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

    Hali tete kwenye viunga vya ccm. Taarifa za uhakika kutoka ofisi kuu ya chama hicho zinasema Wakubwa wanalaumiana na hata wengine kufikia hatua ya kukata tamaa. Utumikaji wa Musiba tokea mwanzo wa awamu hii, kumepelekea mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho. Kilichomtokea Mzee Mangula siku ya...
  18. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa CHADEMA ni CCM wala sio NCCR

    Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema. Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema. Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mbatia ni silaha ya mwisho ya CCM katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani). Malengo makuu ya mbinu hizi ni: Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani...
  20. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nauanika ukweli: Mwaka huu wagombea wote wa CCM lazima wawe 'Timu Magufuli"

    Kwenye siasa, ambamo nimo kwa miaka takribani arobani, timu hazikosekani. Kuanzia kwenye vyama vya siasa na hata kwenye chaguzi, ushindi hupatikana kupitia timu. Timu huratibu bila tabu; hutibu kama tabibu; hunogesha kama mkesha na hurekebisha kama maisha. Timu ndiyo kila kitu kwenye siasa na...
Back
Top Bottom