Ukimya huu wa CCM juu ya COVID19 unamaanisha nini?.

Nzelu za bwino

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
400
Reaction score
484
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.

Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga.

Maana upande wa pili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?

Namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali.

Nawasilisha.
 
Leo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.

Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?

Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
 
Akili yangu haijWahi potea, jadili hoja kuliko kunijadili mimi huo ni upungufu wa akili.
 
Bado hujamjibu mtoa post,slow slow yupo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa. Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga. Maana upande wapili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali. Nawasilisha.
Serikali ndio sisiemu, wao wameongea au!
 
top 3 wamekula kona

mmoja chattle

mwengine kizimkazi

na yule ruangwa
 
Nataka wale Wapiga zumari akina Pole pole na Kigwangala wajitokeze hapa, kenge huwa hasikii hadi masikio yatoke damu
 
Akili yangu haijWahi potea, jadili hoja kuliko kunijadili mimi huo ni upungufu wa akili.
Hoja ndio inatufanya tutake kujua mleta mada ni Nani, ana umri gani, ana elimu gani, ana mrengo gani(wa kisiasa). Tukiyajua hayo ndio tutaijadili hoja kwa akili
 
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.

Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga.

Maana upande wapili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?

Namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali. Nawasilisha.
Haiko kwenye ilani ya chama. Tuko busy: Tunatekeleza.
 
Leo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.

Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?

Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Jadili hoja weweeee
 
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.

Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga.

Maana upande wa pili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?

Namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali.

Nawasilisha.
Ccm ulitaka wafanye nini? Wanashona barakoa zikiwa tayari watagawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndio mnajua CCM ndio wenye dhamana ya kuongoza na Viongozi wa CCM Wana wajibu wa kuongea kwenye maswala mbalimbali ya kitaifa.

Je, mlipokuwa mnauliza Polepole na Bashiru ni wabunge wa wapi ,mbona wanafanya hiki na kile wakati vimekatazwa mlikuwa mnamaanisha Nini?

Akili naona zimeanza kukurudi na kutambua kazi na majukumu ya viongozi wa CCM ambazo ni tofauti na za viongozi wa upinzani
Ahaaa umeingia mtegoni kirahisi usifikiri wanaiuliza ccm kwa heri wanaidhihaki kuwa imeshindwa kupambana wewe unafurahi kama zuzu eti wamejua kuna ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.

Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga.

Maana upande wa pili tumesikia viongozi wa vyama vya upinzani wa kushauri namna ya kupambana na hili janga. Je ilani ya chama kuhusu majanga nani ataitangaza kama sio viongozi wa chama?

Namshauri viongozi wa chama taifa wa toke hadharani na kauli ya chama kama wanavyofanya wakati wakukagua miradi inayojengwa na serikali.

Nawasilisha.

Wamekabidhi akili zao kwa mwenyekiti wao, sasa mwenyekiti kakambia game wameshikwa na aibu. Sasa ndio wamejua vizuri kuwa huyo jamaa yao ni rais wa vitu na sio watu.
 
Back
Top Bottom