Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la kupokea rushwa ya Sh. Milioni moja kutoka kwa Yusuf Omary.
Diwani huyo amefikishwa...
Nashangaaga mtu akisema CCM kutoka madarakani haiwezekani.
Watu tusikae kwa kukariri serikali Ikiweza kusambaza civil Education kwa Jamii nzima basi CCM bye bye.
Sisi vijana ambao tunaipenda Chadema kinachotuharibia nikutokupiga kura.
My advice: Chadema naomba muwasistize vijana kupiga kura...
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.
Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
Tunakusudia tume huru ya ukweli iliyoridhiwa na wadau wote was uchaguzi vikiwemo vyama vya siasa.
Hatukusudii hii ya Sasa ambayo mwenyekiti wa CCM ndio huwachagua mwenyekiti wa NEC na mkurugenzi wake.
Hatukusudii tume huru hii ya Sasa ambapo serikali ya CCM inakataa rulling ya mahakama ya...
Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona.
Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya...
Unaona wimbi kubwa la wana Chadema njaa kukimbia kwenda CCM. Si kwamba wanaipenda CCM, la hasha. Wanasoma trend kuwa wabunge wote walionunuliwa wame-retain nafasi zao bungeni.
Na wanajua kuwa hata uchaguzi wa October mbinu hiyo itatumiwa na serikali/CCM kupora ushindi wa Chadema. Au mbinu ya...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
Siku zote huwa naamini kwenye usemi ule wa kwamba ukiwa na hasira jaribu kujiepusha kufanya maamuzi, kwani unaweza ukaonekana kituko. Hakuna ubishi kuwa wiki hii yote au tokea wabunge wa Chadema waondoke bungeni kwa ajili ya kuji-quarantine kuna mtu mmoja pale bungeni na si mwingine bali Job...
Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,muziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao.
Midundo inayopigwa na devil na wanayoonekana kuifurahia na...
Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo.
Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika...
May 15, 2020
MWASISI wa shirikisho la Vyuo na vyuo vikuu, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna amesema Jimbo la Mbeya kuendelea kushikiliwa na chama pinzani ni kutokana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kuweka...
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.
Kuna wakati...
Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za dhati za chadema Kukamata kiungo yaani media.
Japo ilionekana kuzidiwa na CCM Chadema walikuwa na nguvu...
Tuliambiwa hapa kazi tu. Imekuwa kinyume. Serikali hii ya Magufuli inaendelea kukopa pesa kwa matumizi yasiyo sahihi, kuna miradi inaendelea kufanywa bila idhini ya hilo bunge dhaifu la Ndugai. Huyu bwana naye amekuwa kichekesho.
Rais amekimbilia Chato wiki ya 7 bila ya maelezo ya kutosha (Kuna...
Hili swali nimemuuliza kada mkongwe mzee Mgaya lakini majibu aliyonipa yamenitatiza kidogo, amedai huenda CCM kuna Binadamu wengi lakini " watu " ni wachache. Kwa kunifafanulia amesema binadamu huzaliwa lakini mtu hutengenezwa.
Mdau wa siasa wewe unalionaje hili la wapinzani kuhamia CCM na moja...
Inasikitisha sana sana. Kuanzia Mkulu wa Nchi, Spika, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Sirikali, Mkuchika wa Utumishi, Waziri anayehusika na masuala ya kazi. Hawa wote wamejaa ukomoaji. Wanaendesha uongozi wa ki-imla. Wakati Mkulu akidai ananyoosha nchi wananchi wananyanyasika hasa.
Hawa wengine...
Habari waungwana,
Huhitaji kuwa na Degree ya Political Science kuamini hili. Kwa hakika kabisa majimbo yote Tanzania bara yanakwenda kuchukuliwa na CCM kwa gharama yoyote. Ninaposema kwa gharama yoyote nadhani mmenielewa.
Labda tu Rais kwa sababu zake yeye mwenyewe aamue kuchagua baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.