Mbadala wa CHADEMA ni CCM wala sio NCCR

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
681
2,500
Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema.

Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema.

Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba azidanganyi

Its just matter of time.
 
Kuna propaganda mfu zinaendelea huku jukwaani kuwa NCCR kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakidhani watawachanganya cdm. Cdm haishindani na NCCR wala cdm haihitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinahitaji kukamata dola. Na cdm haihitaji hisani ya ccm ili kuendelea kuwa chama cha siasa, bali kinategemea uungwaji mkono na wananchi. Nccr ndio kinahitaji hisani ya ccm ili kufanya siasa. Nawashauri cdm wadai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote ili kila mtu ashinde mechi zake. Cdm wasikubali kabisa kugeuzwa eti kupigania kuwa chama kikuu cha upinzani kikaacha lengo la msingi.
 
Mkuu wewe huwa nakuona angalau una akili katika mashabiki wa chadema,!
Hivi kweli mna mkakati wowote wa kuitoa ccm zaidi ya kupiga kelele hapa jf?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkakati unataka uwe upi, cdm sio chama cha kigaidi, bali kinatumia njia za kisiasa kwani kina ushawishi mkubwa kwa watu. Kwasasa njia ya box la kura ndio ya amani, ndio maana tunadai tume huru ya uchaguzi. Iwapo njia hiyo ya box la kura haitafanikiwa, basi kuna njia nyingine nyingi zitatumika japo zina gharama zake.
 
Ukiangalia kamati kuu ya chadema unaona kabisa files hapo ni za Mbowe pekee
Safari hii kambi rasmi ya upinzani iongozwe vyama vingine chadema waage kbs kiroho safi

Chama kinachokimbiwa na makatibu wake wakuu
 
Mbadala wa Chadema ni chadema dola maana yake chadema ndani ya ccm iliyokwapua dola kwenye sanduku la kula. Hamjanielewa. Namaanisha hawa wanaonunuliwa ndio chadema Dola ijayo kupitia ccm. Chadema haitakufa kamwe
 
Vyama vya Upinzami hupigama kuwango'ia CCM Madarakani na walianza NCCR, TLP, CUF, CHADEMA hivyo Mbadala wa Chadema ni ACT Wazalendo sio CCM
 
Kuna propaganda mfu zinaendelea huku jukwaani kuwa NCCR kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakidhani watawachanganya cdm. Cdm haishindani na NCCR wala cdm haihitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinahitaji kukamata dola. Na cdm haihitaji hisani ya ccm ili kuendelea kuwa chama cha siasa, bali kinategemea uungwaji mkono na wananchi. Nccr ndio kinahitaji hisani ya ccm ili kufanya siasa. Nawashauri cdm wadai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote ili kila mtu ashinde mechi zake. Cdm wasikubali kabisa kugeuzwa eti kupigania kuwa chama kikuu cha upinzani kikaacha lengo la msingi.
Tume huru tayari IPO na ndio maana kuna wabunge wa upinzani wanapiga kelele tu bungeni wakishavuta bangi zao,Lema,Sugu n.k hawa wabunge naona ni bangi tu sijui kama wana hoja zozote,labda Mdee na Bulaya pamoja na mambo yao lakini huwa wana hoja ukiondoa utovu wa nidhamu walionao toka nyumbani kwao ambako hawakufundwa vizuri au ni wao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kumwaga damu ndio hatua itakayofuata, angalia idadi ndogo ya wapiga kura kwenye vituo vya uchaguzi ndiyo utajua nini kitafuata. Ukishaona idadi ya wapiga kura wanapuuza box la kura, basi iwapo chama tawala hakitaliheshimu box la kura, basi ujue hatua inayofuata na machafuko.

Ni kweli hakuna tofauti ya jubilee na Kanu, lakini Kanu ilikufa na ndio ulikuwa mwisho wa siasa za kidictator za Moi. Hata hapa hiyo ccm inatakiwa ifike mwisho bila kujali kitakuja chama gani, lakini huu mwenendo wa kuongozwa na chama kizee utafikia mwisho, kama sio kwa njia ya amani, basi machafuko hayataepukika.
Yaani idadi ndogo ya watu ndio kusema watu wanataka kumwaga damu? Sasa kama MTU anaona vyovyote vile ccm itapita,kwanini aende kupiga kura? Hakuna kumwaga damu ktk kizazi hichi,kama unabusha subiri,Majeshi yapo imara,utaishia kumwaga damu yako tu na mambo yataendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkakati unataka uwe upi, cdm sio chama cha kigaidi, bali kinatumia njia za kisiasa kwani kina ushawishi mkubwa kwa watu. Kwasasa njia ya box la kura ndio ya amani, ndio maana tunadai tume huru ya uchaguzi. Iwapo njia hiyo ya box la kura haitafanikiwa, basi kuna njia nyingine nyingi zitatumika japo zina gharama zake.
Huu ni utoto,kwani hao akina mbowe walipitishwa na tume gani ya uchaguzi? Ndio maana mnaambiwa hamna hoja ya msingi kwa sasa. CDM Presidential candidate alipata kura 6000000 dhidi ya 8000000 za CCM na bado mnasema tume haikuwa Huru,au mnafikiria kwa kutumia upande mwingine huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema.

Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema.

Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba azidanganyi

Its just matter of time.
Wasomi wengi wameikimbia Chadema ilipotia tia GEAR ya REVERSE angani, hivi sasa kimbilio lao ni ACT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatakiwa tukadanganyane wapi ili kuiondoa ccm? Ilitoka KANU yenye wasomi wa ukweli, itakuwa hii ccm inayotegemea washirikina?
Africa Msomi hana nguvu wala hajui kuitumia akili na elimu, wapenda wachawi wakubwa ni walioelimika, mafisadi nj wao, wala Rushwa ni wao, vibaraka wa serekali za njee ni wao, wauza nchi, Imani, Mila na watu wao ni wao.

Zaidi ya hapo ubovu wa Chadema wamewaweka mbele wahuni na vibaka mbele kama viongozi, na wale viongozi wazuei wote wametimuliwa kwa namna moja ama nyengine, hebu chunguza waliojitoa ama kufukuzwa tokea 2010 hadi leo, andika majina yao na sababu ya kuondoka, utapata mshituko.

Chadema ikitegemea kupelekwa popote na akina Sugu,Lema, Mdee nk... basi tutangoja karne mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom