Hofu imezidi upande wa CCM

Hofu imezidi upande wa CCM

Luthertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
206
Reaction score
832
Baada ya Tundu Lissu kuwasili nchini na kuanza kuwaelimisha wananchi kuhusu uongo na maigizo ya awamu ya tano, pamekuwa na sintofahamu nyingi upande wa chama dola CCM. Pamekuwa na matamko toka kwa viongozi mbalimbali mfano nimesoma kuhusu mgombea ubunge wa CCM jimbo la Ruangwa ndugu Kassim Majaliwa akipangia wagombea urais lipi waseme na lipi wasiseme.

TCRA nao wamekuja na mbinu ya kuzidi kuminya freedom of press.

Maoni yangu ni kwamba wagombea waachwe waseme maana kuna mengi serikali ya awamu ya tano imefanya, mathalani:
1. Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato
2. National park Chato
3. Maiti nyingi kuokotwa kwenye fukwe
4. Watumishi wa umma kutoongezewa mishahara
5. Wakulima wa korosho
6. Kuminywa kwa vyombo vya habari kinyume na katiba
7. Uminywaji wa demokrasia
8. Watu kutekwa na kuuawa

Hata hivyo, sipendi polisi wachunguze kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hatuhitaji uchunguzi ili kujua wauaji wale walitumwa na nani. Ili kujua nani aliyewatuma wauaji wale unatakiwa tu uwe na akili timamu. Hauhitaji hata elimu ya chekechea ili kubaini walitumwa na nani. Hivyo basi, polisi wasichunguze hilo sababu muhsika anajulikana.
 
Nape kasema kimya kingi kina mshindo mkuu. CCM wanaandaa mabomu eti. Nashindwa kuelewa wana uongo gani tofauti na waliotuamisha miaka yooote mitano.

Naona wanapost majengo, mindege, michoro ya madaraja, barabara utadhani hii nchi waliikuta kama Sudan Kusini. Lakini wajue kuwa Teknolojia haidanganyi. Wakipiga jicho sisi tunapiga sikio. Wakiuliza tunaonaje na sisi tunawajibu wanasikiaje.
 
Baada ya Tundu Lissu kuwasili nchini na kuanza kuwaelimisha wananchi kuhusu uongo na maigizo ya awamu ya tano, pamekuwa na sintofahamu nyingi upande wa chama dola CCM. Pamekuwa na matamko toka kwa viongozi mbalimbali mfano nimesoma kuhusu mgombea ubunge wa CCM jimbo la Ruangwa ndugu Kassim Majaliwa akipangia ...
Hata hivyo, sipendi polisi wachunguze kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hatuhitaji uchunguzi ili kujua wauaji wale walitumwa na nani.

Ili kujua nani aliyewatuma wauaji wale unatakiwa tu uwe na akili timamu. Hauhitaji hata elimu ya chekechea ili kubaini walitumwa na nani.

Hivyo basi, polisi wasichunguze hilo sababu muhsika anajulikana.[emoji3][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Safarii hii kila mmoja ashinde mechi zake, Kule rwangwa Lindi kwa majaliwa wanapambana kuhakikisha majaliwa anapita bila kupingwa, ni uhuni mkubwa sana, chama kama ccm kinaogopa kushindana kwenye debe
Alishapita bila kupingwa. Huna Habari?
 
Hahhahaha.. Uchaguzi huu ni nwepesi sana kwa ccm
 
Hawa wameshalipwa pesa yao yote hizo hoja zilizobaki Ni nyepesi mno
Watu tunataka tujue mtafanya kipi kikubwa kuliko ccm katika masuala ya kuweka mkate mezani
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.
 
Hawa wameshalipwa pesa yao yote hizo hoja zilizobaki Ni nyepesi mno
Watu tunataka tujue mtafanya kipi kikubwa kuliko ccm katika masuala ya kuweka mkate mezani
Kwa hii mitano hata tuliokuwa nao mezani tumenyang'anywa.
 
Na si hofu ya kawaida, ni hofu kuu! Hawajui washike lipi na waache lipi. Wakati umewatupa mkono vibaya sana na wamekataliwa mchana kweupe na watanzania.

Mbinu waliyobaki nayo saivi ni vyombo vya dola na serikali ila mbaya zaidi hata huko kwenye vyombo wanawashika viongozi tu. Huku chini hawakubaliani na viongozi wao!
 
Back
Top Bottom