ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    Je, ni kweli wabunge wa Chadema waliohamia CCM ni wale " laini laini" ambao hawajawahi kukaa jela au kulala polisi?

    Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa. Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa. Wengine ......Ole...
  2. Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

    Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus(covid-19) 🦠 Hivyo ccm lazima ipoteze uchaguzi mkuu ujao, hata kama wakiwapa...
  3. Ipo Ziku Yaaja Ccm Mtakuja Kuwaomba Msamaha Watanzania Huku Mkitembelea Magoti Na Kulia Machozi Ya Damu.

    Kwahaya yanayo endelea nchini ,ipo siku ccm watakuja kujuta na kuomba msamaha hadharani wakitembelea magoti na kutoa machozi ya damu kwa walichowafanyia watanzania, mwenye masikio na asikie,mwenye macho na atazame siku yaaja haina tarehe wala mwaka wala saa, huhitaji kuwa na digrii kuelewa...
  4. GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
  5. RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask). Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa” Aidha, ameagiza kuwa...
  6. J

    Tatizo la wabunge walio wengi wa CCM wanaamini majimbo ni mali yao binafsi

    Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu. Unaweza kukuta mwanaCCM mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui...
  7. G

    CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

    Hali tete kwenye viunga vya ccm. Taarifa za uhakika kutoka ofisi kuu ya chama hicho zinasema Wakubwa wanalaumiana na hata wengine kufikia hatua ya kukata tamaa. Utumikaji wa Musiba tokea mwanzo wa awamu hii, kumepelekea mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho. Kilichomtokea Mzee Mangula siku ya...
  8. Mbadala wa CHADEMA ni CCM wala sio NCCR

    Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema. Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema. Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba...
  9. Z

    Mbatia ni silaha ya mwisho ya CCM katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani). Malengo makuu ya mbinu hizi ni: Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani...
  10. Nauanika ukweli: Mwaka huu wagombea wote wa CCM lazima wawe 'Timu Magufuli"

    Kwenye siasa, ambamo nimo kwa miaka takribani arobani, timu hazikosekani. Kuanzia kwenye vyama vya siasa na hata kwenye chaguzi, ushindi hupatikana kupitia timu. Timu huratibu bila tabu; hutibu kama tabibu; hunogesha kama mkesha na hurekebisha kama maisha. Timu ndiyo kila kitu kwenye siasa na...
  11. D

    Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

    Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha...
  12. G

    Nape amsaliti rasmi Benard Membe

    Salam Salam!. Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi...
  13. T

    Hili la kutoteua bodi na kutowapandisha vyeo watumishi litawagharimu Selikali ya CCM uchaguzi huu

    Basi sometime huwa natoka huku Idukilo naenda hadi jijini Mwanza na siku zingine naenda Shinyanga hata Simiyu. Kwa kabiashara kangu ka kukopesha vihela na kununua mazao na biashara nyingine sometime na madini ya Mwadui basi wafanyakazi wa Selikali wamekuwa marafiki zangu sana. Basi juzi nikiwa...
  14. J

    Ni nini siri ya Manispaa ya Ubungo ( Chadema) kutoathiriwa na " Hamia Hamia CCM" hadi Meya wake anastaafu kwa Heshima?

    Kijiografia manispaa ya ubungo inaanzia Kigogo round about hadi Kibamba kwa maana ya Kigogo, Mburahati, Mabibo, Manzese, Ubungo, Kimara,, Mbezi, Msakuzi, Kwembe hadi Kibamba. Meya wa manispaa ya ubungo ni mh Jacob Boniface kupitia Chadema hivyo manispaa hiyo iko chini ya chama chake. Meya...
  15. J

    Wabunge wa CCM wafunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali inayowasababishia wananchi kupata mafuriko

    Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe. Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
  16. Tofauti kati ya CCM na CHADEMA hii hapa

    Ndio maana umefika wakati sasa wananchi wakiwemo hata viongozi wastaafu wanaona kuna haja kabisa nchi ikabidhiwe kwa CHADEMA ili kuendeleza Utangamano wa Kitaifa. Nakala : Kawe Alumni
  17. Wabunge wa CCM wanakwenda bungeni kufanya nini? Mbona wajenga hoja ni wapinzani pekee? Ni kweli kwamba wanadhibitiwa na viongozi wao?

    Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95% Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi...
  18. Nimeamua kustaafu rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari baada ya kuhudumu miaka 30. Niko free kujiunga Siasa, nimejiunga CCM na nitagombea Ubunge

    Wanabodi, Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...
  19. Uthibitisho rasmi wa CCM kuitawala nchi ya Asali na maziwa daima huu, Hapa

    Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani. Kwa upande wa...
  20. M

    Ushauri kwa vyama vya upinzani: Msirudie Makosa, atakayekatwa CCM asipewe nafasi yoyote ya kugombea upinzani

    Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi. Napenda kuvishauri vyama vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…