CCM watangaza kuvunja amani, mwanachama ahubiri kuwacharaza "Mboko" wapinzani

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,206
1,509
Kuna video clip inayosambaa ikimuonyesha mwanachama wa CCM akitangaza nia yake ya kuwapiga viboko viongozi wa upinzani huku akishangiliwa na wanachama wenzake.

Kitendo hiki na matukio mengine kama ya kushambuliwa msafara wa Lissu inaonyesha dhamira ya CCM kwenye Uchaguzi huu.

Swali ninalojiuliza ni kwamba, je wapinzani wataendelea kuvumilia?

Video: Mwanachama wa CCM akitangaza nia ya kuwashambulia wapinzani kwa viboko
 
James Martin,

Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??

Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.

Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.

Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
 
Katiba na sheria hazitambui matumizi ya lugha ya picha(Imagery na symbolism)
 
James Martin,

Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??

Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.

Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.

Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.

Mtu animalize form four na kufikiri anajua kila kitu
 
James Martin,

Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??

Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.

Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.

Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
Wewe ni CCM lakini
 
Kuna video clip inayosambaa ikimuonyesha mwanachama wa CCM akitangaza nia yake ya kuwapiga viboko viongozi wa upinzani huku akishangiliwa na wanachama wenzake.

Kitendo hiki na matukio mengine kama ya kushambuliwa msafara wa Lissu inaonyesha dhamira ya CCM kwenye uchaguzi huu.

Swali ninalojiuliza ni kwamba, je wapinzani wataendelea kuvumilia?

View attachment 1542604
Video: Mwanachama wa CCM akitangaza nia ya kuwashambulia wapinzani kwa viboko
Safari hii hatutakubali kuibiwa, kuonewa wala kunyanyaswa.

Waambieni hao washenzi wa tabia chochote watakachokifanya kitalipizwa kwa nguvu ile ile watakayoitumia au zaidi.

Huu ni mwaka wa jino kwa jino.
 
James Martin,

Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??

Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.

Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.

Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
Ukishatamka vitu hadharani, huna tena umiliki wa tafsiri ya kile ulichokitamka.

Uchaguzi sahihi wa maneno ni jambo la msingi sana.

Mdomo uliponza kichwa.
 
James Martin,

Mkuu, sorry.. mimi sio muumini wa masuala ya kisiasa.

Lakini nikuulize swali dogo sana, umepata kusoma fasihi kwenye kiswahili!??

Kuna kitu kinaitwa Lugha ya picha. Sasa neno "Mboko" laweza pia kuwa kimetumika kama lugha ya picha.

Inawezekana kabisa Muhusika akawa anamaanisha Mboko kwa maana ya kuwashinda au kuwaadhibu kupitia sanduku la kura.

Au pia yaweza kumaanisha kuwashinda kwa njia ya hoja dhabiti kabisa.
Siku zote mtu uhukumiwa kwa matendo yake, na matendo ya hao CCM kwa wapinzani hakuna asieyajua, usiwatetee hao wahuni, safari hii hakuna ataekubali kuonewa, ujinga wao sasa basi.
 
Back
Top Bottom