ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

    Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo: 1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza-...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulimjaribu Magufuli na CCM yake miaka mitano - Tumeangukia pua sasa tunaijaribu CHADEMA - CCM tulieni

    Tume waacheni CCM waangalie hali yao na sio mnawabeba,mnajua wananchi kwa kigezo cha uchaguzi walimchagua Magufuli fundi wa barabara mjenzi mahiri miaka mitano ya Uraisi kuwaongoza wa Tanzania inamalizika mwezi ujao,kwa kweli hakuna maendeleo na hela mfukoni imekimbia au imezidi kukimbia. Kama...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hongera Ihungo Secondary,Kagera kwa kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa

    Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru...
  4. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

    Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na wakipiga kura, CCM hatutakuwa na chetu. Watapiga kura za uchungu na kuukataa uchungu zaidi. Zitakuwa...
  5. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

    Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi. Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo...
  7. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM Dokta Magufuli na yeye sasa amebadilisha gia angani

    Amepata kusikika kila mara kila wakati akisema kuwa maendeleo hayana chama, umekuwa wimbo wake na korasi yake lakini ghafla bin vuu amebadilika juu kwa juu na kusema kama katika tochi ya betrii 3 katikati au pembeni mkiweka gunzi la muhindi imekula kwenu, tochi haita waka na yeye awashi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yasiyosemwa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Vs ACT-Wazalendo - Zanzibar

    Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar. Kuna baadhi ya mambo hayakusemwa au kupatiwa ufafanuzi. Timu yetu ya kampeni ilipiga kambi huko...
  10. The suspender

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano iliyopita CCM imetumia mtindo wa pesa za mapaka kufanya maendeleo

    Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya kupata pesa; Kalumanzila anakujibu pesa ipo nje nje usjali lakini ili uipate lazima utolee sadaka na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bashiru, Polepole na Kabudi hamna maneno ya kumjenga mgombea wa CCM. Pia mshaurini ya kuongea

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Treni la uchaguzi linapozidi kuchanja mbuga si haba kukumbushana tunapojikwaa hapa na pale ili miradi tuweze kufika salama. Katika harakati kama hizi ni vizuri kuirejea historia ili kuweza kusonga tukiwa kifua mbele zaidi. Ndiyo...
  13. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya matusi mazito ya Tundu Lissu kwa CCM na Mgombea

    Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana: Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge Wafanyakazi kutopata...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Nikasema CCM lazima iongozwe na muuza ndizi (Dkt. Bashiru)

    CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli amesema palikuwepo mamilioni ya Wanaccm ambao wangeweza kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama lakini aliona lazima chama kiongozwe na muuza ndizi Dkt. Bashiru. Wakulima Oyeeeee! Maendeleo hayana vyama.
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

    Rais Magufuli leo yupo mkoani Kagera akitokea Chato kuendelea na kampeni za kuwania Urais kwa muhula wa pili. Hizi ni baadhi ya picha za Rais Magufuli akiwa anaongea na Wananchi alipokuwa njiani katika mkoa Kagera. Picha zikimuonesha Rais Magufuli akiwa katika gari akizungumza na Wananchi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa kuzidiwa kwa CCM, ni kama wanatoa buriani kwa wananchi

    Bado kuwaachia mashehe wa Kiislamu tu, sasa tunaona CCM wanajitahidi kuweka na kuziba au kutia viraka sehemu zao,mara walimu, mara pembejeo, mara afya, mara 'ishuwarensi'. Yaani wanahangaika na kurusha madaluga vibaya sana. Walikuwa wapi tokea tupate Uhuru, walikuwa wapi miaka mitano iliyopita...
  18. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hutaweza kututoa wamachinga mitaani

    Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini. Katika kampeni zake, Lissu...
  19. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia. === Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa aliugua ghafla. Swala ya maiti itafanyika leo Alasiri September 15 katika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi kwa CCM nyie mna macho na hekima kweli kweli

    Mabibi na Mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ama kwa hakika wale chama mboga mboga wana hekima na uwezo mkubwa wa kuona mbali zaidi labda kuliko kina sisi. Mabwana hawa kwa hakika ndiyo maana mabingwa wao wanavuna buku 7, 7 kila siku ili wadumu! Hawa mabwana wamesisitiza...
Back
Top Bottom