ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hutaweza kututoa wamachinga mitaani

    Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini. Katika kampeni zake, Lissu...
  2. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia. === Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa aliugua ghafla. Swala ya maiti itafanyika leo Alasiri September 15 katika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi kwa CCM nyie mna macho na hekima kweli kweli

    Mabibi na Mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Ama kwa hakika wale chama mboga mboga wana hekima na uwezo mkubwa wa kuona mbali zaidi labda kuliko kina sisi. Mabwana hawa kwa hakika ndiyo maana mabingwa wao wanavuna buku 7, 7 kila siku ili wadumu! Hawa mabwana wamesisitiza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM haiwezi kulisemea suala la Mbunge kupita bila kupingwa kwa sababu ni jambo la Kikatiba

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika. Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua. Maendeleo...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kusambaza mabango ya wagombea wao nchi nzima, ni kutumia vibaya "resources" zetu!

    Hivi sasa unapotembea kwenye miji mikubwa hapa nchini utakutana na mabango ya wagombea wa CCM, ambayo yamebandikwa kila mahali, hadi kwenye vichochoro, hadi inatia aibu na kuleta kichefuchefu! Wakati hayo yanafanyika kwa upande wa CCM, kwa kutapanya ovyo pesa zetu za walipa kodi, hali ni mbaya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

    CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT-Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT-Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume. Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imechokwa na Watanzania tuache utani kabisa

    Kama siyo mbinu ya JPM Kupiga Marufuku mikutano ya kisiasa tangu Alipoingia Madarakani, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa, Nina Imani hata kitendo cha kuvunja katiba ya Nchi makusudi ni baada ya Kuona CCM ilivyozidiwa ktk Kampeni za Uraisi, 2015. Binafsi Mimi siyo mfuasi wa Chama...
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mrema wa CHADEMA asiposhinda Segerea nahama Dar

    Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia. Katika kitu ambacho Kamati Kuu ya CCM ni sikio la kufa ilikuwa kumrudisha Bonah Kamoli Segerea bila kujua alishinda vipi, huyu mama...
  10. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuichagua CCM ni kuchagua mateso makubwa

    Kuchagua CCM ni kuwafungia zigo la mateso makubwa Wananchi. Ni kuchagua maumivu makubwa kwa Watanzania ni lazima tuwe makini zaidi. 1. Kuchagua CCM ni kuchagua watu kuendelea kupotea bila kujua walipo, ni kuchagua watu kuendelea kupigwa risasi na wasiojulikana bila kuwajua ni kina nani. 2...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kinavyozidi kupoteza kura, kimekuwa kikiwaponda wasanii wanaoburudisha kampeni za CCM wakati ni wapiga kura

    Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura. CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa dini, wenye magari wanaobeba wana CCM kwenda mikutanoni nk hao wote ni wapiga kura ambao CHADEMA...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally ndani ya Dakika 45 leo Septemba 14

    Katibu Mkuu wa CCM(T) Msomi Dkt. Bashiru Ally anatarajiwa kuwepo katika kipindi cha TV cha Dakika 45 (ITV). Unakaribishwa kusikia 1 - Mambo makubwa yaliyofanywa na CCM Kimataifa, kikanda, kitaifa hadi ngazi ya Kata na vijiini kwa kipindi kifupi cha miaka mitano ya Rais Magufuli. 2 - Sera na...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche aimalizia CCM kata ya Nyamongo

    Hii ndio kampeni iliyopigwa jioni ya leo .
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

    Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena? Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
  16. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

    Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa. Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo... 1. Itakuwa Jambo La...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole. Mzee Jakaya Kikwete...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. _____ 1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM. 2...
  20. Mmawia

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

    Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba. Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom